Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike.
Naomba...
Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.
Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi...
Kenya imepiga marufuku uingizaji wa nguo za mitumba nchini humo ikiwa ni tahadhari ya kusambaa kwa virusi vya corona.
===
NAIROBI, Kenya Mar 18 – As the coronavirus pandemic continues ravaging major sectors of the economy, small and medium-sized enterprises have not been spared and...
NIkiangalia jenga la CORONA na uvaazi wa mitumba naona kabisa tunaenda kupata UGONJWA HUO kwa njia za mitumba. Ugonjwa huo unasemwa unaambikizwa kwa kugusa sehemu yenye virusi hivyo ndio maana tunashauri kunawa mikono mara kwa mara. njia za kupata zipo nyingi ila hiyo ya kugusa ni mojawapo...
Habari,
Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special).
Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA.
Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M.
NB: Fremu ipo free, ni yangu.
Mchango wa mdau
GTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na...
Fundi nguo anahitajika
Awe na miaka 24 - 38
Awe na uzoefu usiopungua miaka 3
Awe anajua kushona nguo za kike vizuri
Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji
Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.
Similar threads
Natafuta fundi wa kushona nguo
Fundi nguo...
Ili ziwekewe utaratibu maalum wa kufuliwa na kupelekwa kwa wenye uhitaji. utafiti wangu mdogo usio rasmi umebaini kwamba watu wengi hasa wenye kipato maeneo kama ya mijini hapa Tanzania wanaishi na nguo,viatu kandambili, madela, vikoi, vidani, nakadhalika ambavyo hawavitumii.
Aidha vitu hivi...
Hawa jamaa ni jasiri sana linapokuja suala la kuchukua takrima.
Japo wapo wachache waaminifu ila kwa siku hizi mbili jana na leo nimewaona wakiwa makini barabarani kukagua ila konda na dereva nawasikia tu wanatajiana viwango vya kuwapa kila gari linaposimamishwa.
Kupunguza rushwa (sio kuondoa...
Hawa watu wafuatao ni wavaa suruali waliobobea kunako fani hii..
Ni zile suruali zao zinazong'aa kama bati (satini)
Pia huwa wanavalia suruali tumboni...
Lucas Mobutu
CONTROLA
Nyaru-sare
Daby
Mshana Jr
Kawe Alumni
MKWEPA KODI
Asprin (huyu anavaaga na vinyandu siku nyingine)
Kichwa...
Kwa utafiti mdogo niliofanya kuhusu mwenendo wa biashara katika soko la kariakoo nimeona kuna fursa ambazo zinaweza kusisimua zaidi biashara na kuwezesha kukuza mauzo ya wamiliki wa maduka ya nguo ya Jumla na Rejareja Kariakoo.
Iwapo wewe ni mmiliki wa duka la Nguo kariakoo na ungependa...
Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu.
Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
kwenye wakati ambao demand inaweza kuwa kubwa kuliko supply kutokana na matatizo yanaoyoendelea
china oneline traders tumeshusha contena la v tishrt tunauza kwa bei nzuri zaid
v tishrt cotton
bei 9000
jumla
ni plain tshrt
unaweza vaa kokote
haipauki
haitanuki
jumla 9000
rejareja 12000
maduka...
Nikushukuru sana Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri, wakati nakuja Watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini leo nimetia suti mpya, maana hata hiyo mitumba ni sehemu ya mazingira na ni sehemu ambayo inachafua hadhi ya Nchi yetu.
Rais Magufuli umefanikiwa...
Fundi nguo anahitajika
Awe na miaka 24 - 38
Awe na uzoefu usiopungua miaka 3
Awe anajua kushona nguo za kike vizuri
Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji
Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.
Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda.
Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo.
Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
Habari wana jamvi,
Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.