nguo

  1. sudan iii

    INAUZWA Nguo za kike zinauzwa

    Karibu kwenye duka letu tunauza nguo za kike Product. Woman clothes whatsapp no. +255620882741
  2. Niache Nteseke

    Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

    Uzi tayari...! 👊🏾
  3. Meneja Wa Makampuni

    Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

    Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
  4. winnerian

    Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  5. 2019

    Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  6. Yamungu Jeremiah

    Biashara ya Bidhaa za Mitumba( Second hand products)

    Habari wakuu! Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc. Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni...
  7. Sa 7 mchana

    Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  8. Nyankurungu2020

    Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  9. The Boss

    Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

    Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi. Ni mavazi rasmi ya Chadema? Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema? Yanaashiria nini? Wenye clips au picha naomba muweke.
  10. Suley2019

    Zifahamu athari za kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi

    “Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la uzazi.” Hiyo ni kauli ya Dk Elizabeth Lema kutoka Hospitali ya Cornwell Tanzania ambaye amefunguka na...
  11. Determinantor

    CCM waendelea kuvuana nguo, safari hii ni Bollen Ngeti

    DK. ANTONY DIALO NI MNAFIKI SANA, MPUUZENI Na Bollen Ngetti NINAANDIKA makala haya nikiendelea na matibabu ya Covid-19 kwa siku ya 9 lakini nina amini nitapona. Upekee wa virusi hivi ni kwamba vinaathiri mfumo wa upumuaji lakini si nishati ya ubongo. Kwa mantiki hiyo nina akili safi...
  12. A

    Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

    Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
  13. hemed rasuli

    INAUZWA Tunauza makabati ya zipu ya nguo na viatu

    Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu Ni imara na zinapendezesha nyumba Yapo ya rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja Milango 2 tsh 65,000 Milango 3 tsh 75,000 Mawasiliano; KUPIGA SIMU NA MESEJI...
  14. Nyacheri

    Nguo Bei poa

    Jamani Wana JF naombeni msaada kwa wanaoagiza nguo nje ya nchi au connection nahitaji kuagiza nguo za kike. Nianze biashara.
  15. Woga tupa kulee

    Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  16. Traviana Tray

    Nguo za watoto grade A

    Hello nauza nguo za watoto za mtumba grade A za kike na za kiume kuanzia mtoto mchanga hadi wa miaka 4 kwa bei nzuri, Pia nauza novels za wakubwa na watoto kwa bei ya tsh 3000 kwa novel 1(3000@1) na novel 2 kwa tsh 5000(5000@2)nkwaapatikana dsm maelezo zaidi, maswali au mawasiliano yangu Karibu pm
  17. M

    Msaada kwa wanaojua size ya nguo kwa zile alama za kirumi mfano..xl,xxl nk

    Rejea kichwa Hapo juu.., Samahani wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package ya boxer moja Sasa bila kudadisi nikanunua na kuondoka,kufika home kesho yake nilipotaka nivae kiLa...
  18. mdizi 2021

    Nataka kuanza kuuza nguo kwa mtaji wa Tsh. 50,000/-

    Habarini wana group, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. mwishoni mwa mwezi huu nina mpango wa kuanza biashara ya NGUO, akiba yangu ni elfu 50. Sehemu nilioiwaza ya kununua mzigo ni Karume nasikia hapo ukiwahi asubuhi saa 11 au 12 unapata nguo mzuri sana kwa bei ya elfu 5 au chini...
  19. T 2021 SSH

    Wapi nitapata nguo nzuri za mitumba kwa Mwanza

    Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Naomba msaada kwa wajuzi?
  20. hemed rasuli

    INAUZWA Nauza kabati za zipu za nguo na viatu

    Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu Ni imara na zinapendezesha nyumba Yapo ya rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja Milango 2 tsh 55,000 Milango 3 tsh 70,000 Milango 4 tsh 85,000 Mawasiliano...
Back
Top Bottom