GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe
"Pamoja na Uwekezaji...
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au...
Hope wazima wana JF,
Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram...
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM.
Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha.
Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi yanavyotaka mimi nifanye, usinione mi mbaya.
Shauri yenu warembo, endeleeni kuvaa nguo zilizoandikwa...
Maisha ni fumbo kubwa lililojaa somo kubwa iwapo tu utasimama thabiti na ukiwa na msimamo chanya na kuwa mtu unayependa kujifunza kupitia na magumu unayoyapitia.
Nilipoingia kwenye biashara na kuanza kushika vijihela ambavyo nilikuwa sijawahi kuvishika kabla, basi na tabia mpya zikaanza...
Nachokoza hii mada naomba tuchangie Kwa weledi na ustaarabu. Kulingana na masimulizi ya Biblia kitabu cha Mwanzo, binadamu wa kwanza Adamu na Eva waliumbwa na kuishi wakiwa uchi mpaka walipotenda dhambi ndipo walipoona soni maumbile yao ya uzazi kutokufunikwa.
Najiuliza kama hawangehalifu...
Habari zenu wakuu
Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.
Nimekuwa shabiki wa timu...
Kwa mara nyingine naona Bwana Fei Toto kawasilisha barua TFF ya kutaka kuvunja mkataba na Yanga. Mpaka sasa nafikiri yeye na watu wake washashtuka na kuona kuna mahala waliteleza ndio maana wanakwepa kupeleka mashtaka CAS.
Kwa akili ya kawaida baada ya review yake kugonga mwamba, alitakiwa...
Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018.
Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota.
Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji.
MTWARA
Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
Habari wana jamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atapokewa kwa mila za kabila la Kinyaturu kwa nguo zake alizopigwa nazo risasi kutolewa rasmi, kufuliwa na kupewa wazee kwa ajili ya kuzivaa.
Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki tangu mwaka 2010, alivuliwa ubunge Juni 28, 2019 akiwa kwenye...
Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille,
Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni.
Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa...
Habari za humu ndani wakubwa na wadogo .
Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.