Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo:
1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.
Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
Serikali ya Zanzibar kupitia Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni imepiga marufuku mtindo wa Wanawake kulowesha kwenye maji nguo walizovaa na kisha kucheza nazo mziki kama ambavyo imekua ikifanyika kwenye baadhi ya sherehe ama mikusanyiko.
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya...
Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya.
Share with us kilichojiri kwenye comments...
Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth.
Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City.
Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo...
Hii Ngoma bado mbichi kabisaa Maana viongozi wa Dini wamesema wameiskilza Serikali ila Wao watatoa matamko Yao baadae.
Lakini hoja zao zimeonekana zenye akili na uelewa wa Juu wa mambo haya tofauti na wabunge wetu..
wanasema wabunge walio wengi hawategemei Kura, wanaamini iwe jua au mvua...
Wasalaam watanganyika,
Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm,
Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine.
Hatukuelewa ni kwann ana attend...
Mashine ya Kufua na Kukausha nguo 10kg inauzwa bei chee. Acha kufua kwa kutumia mikono. Kazi hiyo ziachie mashine zifanye.
Bei 450K
Wasiliana na muuzaji: 0757669270
Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA).
Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
Wakati Yanga wakiendelea kutafuta mchawi aliyesababisha wakapigwa na USMA wikendi iliyopita, baadhi ya mashabiki wao wameanza kuwashutumu baadhi ya watendaji wao kwa usaliti kisa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu na nyeupe.
Katika jambo lililoshangaza wengi, siku ya mechi ya USMA kocha mkuu wa...
Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi.
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini?
Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??
Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.
---
aibu
dhahiri
goli
kubwa
kuona
kutoa
kuzima
kwao
madaraka
magufuli
matatizo
mdogo
mechi
milioni
milioni 10
mkapa
nguo
samia
siku
taa
taifa
umeme
uwanja
uwanja wa taifa
wahuni
wazee
yanga
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja.
Sasa basi mimi...
Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt.
Achana na vile vya external pale.!
Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?
Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
Kuchagua nguo nzuri dukani kunaweza kuwa changamoto, lakini hapa kuna vidokezo kadhaa vinavyoweza kusaidia:
Angalia ubora wa kitambaa - Kitambaa ni jambo muhimu sana kuzingatia wakati wa kuchagua nguo. Hakikisha unapata nguo yenye kitambaa chenye ubora mzuri na kinachoweza kudumu kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.