nguo

  1. Magical power

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
  2. D

    Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  3. Lovelovie

    Tunauza nguo nzuri za wadada Mwanza

    Tunauza nguo za kike Nguo nzuri, quality nzuri Tunapatikana Mwanza Kirumba 0699728254 watsap/call Mikoani natuma Karibu upendeze.
  4. D-Smart

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  5. Roseyree

    Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  6. GENTAMYCINE

    Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  7. Miss Zomboko

    Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
  8. Mlaleo

    Mwanamke wa Iran avua nguo zote baada ya kughasiwa kuwa amevaa vibaya hijab

    Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure and had a mental disorder."...
  9. Yoda

    Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

    Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
  10. Roseyree

    Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  11. Metronidazole 400mg

    Vipi? Umkute na nguo ya ndani umzue au bila bila mpenzi wako

    Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza matamanio na hisia Kali za kimapenzi pindi mnapokutana. Moja wapo ni kuhusu nguo ya ndani ( Pichu )...
  12. mshamba_hachekwi

    Chimbo zuri la nguo Mbeya....

    Habari zenu ndugu zangu.... Anayefahamu mahali pazuri pa kupata nguo nzuri za kiume Mbeya anijulishe kwenye comments. Simaanishi sehemu yenye bei rahisi, namaanisha sehemu unayohisi umewahi kupata nguo nzuri bila kuhangaika sana, yaweza kuwa ghali au bei che. Tafadhali wakazi wa Mbeya nisaidieni.
  13. Mshana Jr

    Eti nguo ya ndani nayo ina nje na ndani

    Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana hata ilivuliwa hutupwa chini 😂 Au labda tuseme ni daktari wakati wa kukuchoma sindano! Hapo...
  14. Yoda

    Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  15. Komeo Lachuma

    Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  16. M

    Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  17. Yoda

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Hili vazi la kijora ambalo huwa linazungumziwa sana na waswahili na watu wa pwani ni vazi la aina gani? Kijora kina utofauti gani na vazi la dera? Kijora kinavaliwa na watu wa aina gani zaidi?
  18. Mwachiluwi

    Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

    mimi siwezi kuvaa nguo ya njano rangi ya njano hapana naona kama ni rangi ya wagogo hii 🤗 weww kwako ni ipi wagogo ni watani zangu
  19. B

    Nafua nguo Dodoma

    Kuna mdada yupo Mipango Dodoma, kama kuna mtu anaehitaj kufuliwa siku ya leo ndani ya Dodoma mjini, sharti nguo na kila unamtolea nje na hamna extra service. naenda mahali mteja alipo namba 0697629019 mwenye uhitaj anitafute plz
  20. Mad Max

    Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

    Wadada, wembamba! Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana. Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma. Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi. Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
Back
Top Bottom