Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama.
Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye...
Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani.
Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo ni kawaida sana kukutana nazo,
Wa mama hao wamesema kuwa mara nyingi hukutana na maiti za watoto...
Karibuni sana vunjabei mtumba grade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 kutoka China Dubai uturuki Canada
Tuna balo za nguo aina zote kama
Gauni jeans suruali Koti blouse skirt tshirt jeans kadeti pens Shati Viatu mabegi pazia shúka
Tunapatikana Ilala boma dar es salaam mtaa wa mwanza...
Wale wote wenye nia njema na wanaochukia uonevu na unyanyasaji wanaofanyiwa wenzetu jamii ya wamasai tuwaunge mkono kwa kuvaa mavazi yao ya asili.
Uhamasishaji mkubwa utafanyika kuhakikisha nguo na mavazi kama lubega au mashuka ya wamasai yanavaliwa na wote ambao tunawapenda na kuwajali...
Kubali au Ukatae...iko hivyo
Wanawake wakivaa hizi nguo wanakuwa poa sanaa....halafu wanaonekana Classic wote yaani Wakishua hata kama sio....zaidi wanaonekana wasafi kumbe wengine hamna kitu...wanajikuta tu 😂
Povu za weekend ndio tunataka...karibu
Inshu iko hivi:
Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga
Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali
Amekuwa na tabia ya kufua chupi kibao halafu anakuja kuanika katika kamba iliyo mbele ya mlango wa mshikaji
Sasa leo mwana kafua boksa...
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa...
Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi.
Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni).
Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi?
NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini.
Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
Hi guys🙋, i hope mko poa wote.
Mwenye kuhitaji kabati kubwa la nguo chukua hili, ni zuri sana.
Location: Kigamboni Kisiwani, price: 300k
Contact : 0697224996
Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo.
Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama Kariakoo ya bongo. Nguo zao ni bei ndogo zaidi hata ya Kariakoo.
Kwa yeyote mwenye ujuzi au connection...
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya
UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO
1. Wanaongea kwa mihemko .
2. Wamedandia tu mada hawana ukiwabana sana hawana uthibitisho wowote.
3. Ni kawaida yao...
Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa.
Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.