Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo.
Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama Kariakoo ya bongo. Nguo zao ni bei ndogo zaidi hata ya Kariakoo.
Kwa yeyote mwenye ujuzi au connection...