nguo

  1. Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni. Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa...
  2. Hivi kwanini wanawake wa siku hizi hawavai hizi nguo?

    Zilikua zinawapendeza ila kwa uchunguzi wangu nilioufanya ,nimegundua siku hizi hawazivai. Shida nini wakuu?
  3. Mnaokata tiketi za mwendokasi acheni kunyanyasa wanafunzi wanaovaa nguo za nyumbani

    Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa. Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
  4. Ajali ya Ndege ya Precision Air imetuvua nguo wazi wazi

    Wakuu kwa mara nyingine tena nitoe pole sana kwa waliopatwa na ajali ya Ndege leo huko Bukoba baada ndege ya Shirika la Precision Air kupata hitilafu wakati wa kutua na kuingia Victoria pia wale waliopoteza maisha basi Mwenyezi Mungu awarehemu na kuzipumzisha nafsi zao pema peponi. Kusema...
  5. Sio sahihi "house boy" kukufulia nguo za ndani

    Habari za wakati huu wana jukwaa, Wiki iliyopita nilienda kumsalimia kaka yangu, yeye anaishi na mfanyakazi wake wa kiume, mke yupo kikazi mkoa mwingine. Jambo lililonishangaza wakati nafua nguo zangu kujiandaa na safari nilihamaki kuona mfanyakazi wake wa kiume akimfulia nguo zake za ndani...
  6. Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  7. Upekuzi wa kuvuliwa nguo mgodi wa Tanzanite wakomeshwa

    Diwani wa Kata ya Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Salome Mnyawi amesema hivi sasa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ya tanzanite wanapekuliwa kwa staha tofauti na awali walipokuwa wakivuliwa nguo, kabla ya Wabunge kupinga upekuzi wa aina hiyo. Mnyawi ameyasema hayo kwenye...
  8. Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  9. Ameondoka akiwa amevaa nguo yangu ya ndani ( boxa)

    Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zito, nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa...
  10. Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
  11. Msaada wa Nguo za dukani (readymade)

    Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi. Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza karibu na stendi ya Buzuruga, nina mtaji wa milioni 2.5, sasa wazo langu la biashara ilikua ni kuuza...
  12. T

    INAUZWA Nguo za watoto zinauzwa

    Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
  13. SI KWELI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  14. Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
  15. B

    Je, mitumba ni nguo zilizochangwa ili kusaidia wasiojiweza?

    Wengi wetu tumewahi kusikia, kuuza ama kuvaa nguo zinazojulikana kama "mtumba", je umewahi kujiuliza hizo nguo zinatokea wapi.?? Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa mwaka 2020 na mwandishi mmoja wa habari za uchunguzi nchini Finland, waligundua kwamba baadhi ya nguo ambazo wananchi wa taifa hilo...
  16. Ushawahi ona mkataba ulioandikwa kwenye nguo?

    Anaandika Thadei Ole Mushi AKILI ZA TABIA YA KITROPIK HAZINA MUDA WA KUFIKIRI. Na Thadei Ole Mushi. Kitaalamu ipo hivi. Akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi zenye tabia ya nchi za Kitropik huwa hazina muda wa kufikiri sana tofauti na akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi za Jangwa au...
  17. Ni ipi dawa ya kurudisha mn'gao wa rangi ya nguo, au kuzuia nguo isipauke hasa nyeusi?

    Wataalamu na wasomi na wajuzi hivi kwa bongo hizi dawa zipo. Watafiti tunaomba dawa ya kurudisha nguo ziwe mpya maana nakumbuka zamani tulivaa nguo hadi ichanike, ila sasa hivi hata ikipauka tu tayari inaonekana chakavu hata kama bado haijaqualify kuwa dekio jipya. Sasa si wengine tunataka...
  18. INAUZWA Tunauza nguo aina ya tshirts bell, truck suit nzuri sana. Karibu dukani

    Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi 18,000/- Pia tunauza kwa bei ya JUMLA. Wasiiana nasi whatsapp au piga simu 0719 100 591. Asante kwa...
  19. Vyuma vya kuanikia nguo na kamba zake vinauzwa 20,000

    ,
  20. L

    Maonyesho ya nguo za mitindo ya 'Metaverse' yafanyika Hong Kong, China

    Tarehe 9 Juni 2022, mradi wa nguo za mitindo "Juxtaposed 2022 FASHION META" ulioandaliwa na shirikisho la wabunifu wa nguo za mtindo wa Hong Kong ulifanyika na kusherehekea kumbukumbu ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa eneo maalumu la Hong Kong.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…