nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. Setfree

    Mnaokula Kitimoto, Kuleni "Kwa Raha Zenu," Yesu Ameruhusu

    Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe). Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi: Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe...
  2. Black Tanzanite

    Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

    Assalaam alaykum, Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini.... Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi...
  3. Mohamed Said

    Futari ya Pork (Nyama ya Nguruwe) Ambassador Hotel Harare 1993

    https://youtu.be/BiQXaEhkisE?si=S02Lbs7ZIB7REY1o
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
  5. MamaSamia2025

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kuhifadhi mafuta ya nguruwe yasiharibike

    Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani na kuyatayarisha kisha kuyahifadhi. Sasa ninaomba kwa anayefahamu namna nzuri ya kuyahifadhi ili...
  6. M

    Virutubisho vya nguruwe vinavyo fanya vizuri ni max pig

    ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema. -Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
  7. Ben Zen Tarot

    Biashara ya ufagaji wa nguruwe

    Wengi Tumekuwa Tukipambana Maishani Tukifikiria Kuwa Biashara Au Ajira Ndo Vinaweza Kututoa Maishani Mwetu Huku Tukisahau Au Kudharau Baadhi Ya Fursa Zilizopo Mbele Yetu Nikuombe Kijana Mwenzangu Mwaka 2025 Jaribu Kufanya Ufugaji Wa Nguruwe Kama Sehemu Ya Fursa Namba 2 Ukiacha Hicho...
  8. Magical power

    Usitembee na mke wa mtu tafuta wa kwako

    1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe _ 2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, 3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia, _ 4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda...
  9. M

    Nguruwe wadogo wanahitaji chakula chenye protein nyingi na kinacho wapa nguvu.

    KWA MAHITAJI YA VIRUTUBISHO VYA MAX PIG PAMOJA NA VIFAA VYA NGURUWE KAMA VILE #EARTAG#TEETHCLIPPER#PIGNIPPLE#WEIGHTTAPE#MZANIWACHAKULA# ■WASILIANA NASI 0656 446 991 0774 608 608 ■DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI OPPOSITE NA THE ONE HALL NJIA YA KWENDA JESHINI ■TUNA MAWAKALA MIKOANI...
  10. M

    Kwanini Yesu aliyaelekeza mapepo kwenda kwa Nguruwe na si mnyama mwengine?

    Habari yenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanini yesu alipokuwa anaombea watu wenye mapepo alikua anayotoa hayo mapepo kwa watu na kuyaelekeza kwa nguruwe, naomba msaada mnieleweshe maana hili linanichanganya.
  11. M

    Jinsi ya kunenepesha nguruwe wako.

    Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus. Nitoe wito kwa wafugaji wote Tanzania ambao hawajawahi kutumia Max pig kuanza kutumia mara moja. Max Pig husaidia nguruwe...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

    Jf saalam. Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana. Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini...
  13. zyuho

    Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  14. Allen Kilewella

    China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

    Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani. Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka. Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja. Kwa Afrika, Afrika ya...
  15. D

    Huyu ndiye Sultan wa Mwisho wa Zanzibar

    Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake. Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu. Any way he is a citizen of United Kingdom and currently retired in oman since 2020.
  16. Hypersonic WMD

    Waliochukua No za mbegu bora za nguruwe Siku ya nane nae mwanza ! Tusaidiane!!

    Wakuu Kama ilivo ada na utamaduni wetu Toa kitu upate kitu. Siku ya nane nane mwanza niliona nguruwe wazuri Large white na wengine wa kisasa ila sikupata wazo la kuchukua no . So kama kuna mtu alichukua no zao hawa wauzaji aniandikie hapo binafsi nilichukua no za mbwa Ila nilichukua namba za...
  17. matunduizi

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

    Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:28-). Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa mapepo/majini kuwa yanaogopa nguruwe na products zake? Nikakumbuka ni bwana mdogo Ibirisi maana uongo...
  18. Mpenda vurugu

    Hakuna mnyama anae mshinda kwa mbio kama huyu Ngiri nguruwe mwitu Simba chui hapa kiboko yao V18

    Anaitwa Nguruwe poli ama NGIRI Ni mnyama anae trend sana kwenye Kila Reels ya social media. Na anauwezo wakukimbia haijalishi adui ametokezea wapi, na anauwezo wakumtisha yoyote adui awe simba ama fisi au chui na viboko wanamuogopa. Napenda anavyo kimbia mwamba. Wewe unamjuaje? Karibu...
  19. Waufukweni

    Afrika Kusini: Mzungu aliwaua wanawake wawili weusi na miili yao kupewa nguruwe waile

    Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini. Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
  20. M

    Je una ifahamu siri ya kufuga nguruwe bila kupata hasara hii hapa.

    Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? Umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group ujipatie...
Back
Top Bottom