nguvu

  1. Etugrul Bey

    Kuwa Nafsi yenye Nguvu

    Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe Ukimya wakati mwingine ni jibu lenye nguvu sana Hakikisha una nguvu ya kutosha kuweza kufanikiwa...
  2. Yoda

    Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  3. Tajiri Tanzanite

    Juhudi zifanyike wapenyezewe Al Hilal au CAF hii issue ya madawa (Sindano za kuongeza nguvu)

    Hapo vip!! Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani. Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu...
  4. kwisha

    Hivi nchi za NATO hazina nguvu kabisa ya kijeshi?

    Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho. Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
  5. Kichuguu

    Kaizer Chiefs Wanaitaka Yanga ya 22/23 kwa Nguvu Zote

    Kaizer Chiefs wameshamchukua Nabi, na sasa Kaze na bado wanamtaka sana Mayele na Aziz Ki kwa gharama zozote zile. Inaelekea Yanga ya 22/23 ilitisha sana
  6. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  7. green rajab

    Iran isitumie nguvu kubwa Israel imeshatepeta ni ya kujipigia tu

    Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

    WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usiwe Mpumbavu. Usiwe mbumbumbu! Usiwe Lofa! Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu Kamwe usijitese Kisa Mwanamke. Usiwe Yale majinga àmbayo ni...
  9. Surya

    Kwasasa nikitongoza lazima niulize kama ana Nguvu za kike

    Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue. Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
  10. K

    Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  11. Logikos

    Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  12. Vichekesho

    Ostadh Shaaban: Iran ina nguvu kuliko Marekani

    Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu...
  13. dr namugari

    Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
  14. mamma herbs

    Tiba ya nguvu za kike

  15. Massawejr

    Nguvu ya wakati

    Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa. 1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi ndio wakati sahihi wa kupata 2. Ukiangalia saa hizo kila moja inasema muda wake baasi tujifunze ya...
  16. Massawejr

    Nguvu ya muda

    Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa. 1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi ndio wakati sahihi wa kupata 2. Ukiangalia saa hizo kila moja inasema muda wake baasi tujifunze ya...
  17. Aliko Musa

    Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  18. 2019

    Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

    Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume. Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
  19. Strong25

    Nguvu za ulimwengu

    "UINUKE NA UIANGAZE DUNIA" _ Salamu zikufikie ww mpambanaji usiechoka kutafuta Leo sina mengi sana ila naomba wataalam mniekeze jambo hapa MEDITATION _ Natamani kujua inafanyaje kazi na taratibu zipi zakufata- - Faida na madhara yake _ Muda gani wakufanya _ Sehemu gani itakua ni nzuri zaidi...
  20. KING MIDAS

    Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

    Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17. Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku...
Back
Top Bottom