nguvu

  1. Adolph Jr

    Nani anaiongoza Lebanon na Hezbollah ina nguvu gani?

    Lebanon imekuwa chini ya mashambulizi makali ya makombora kutoka kwa Israel katika muda wa wiki mbili zilizopita, ambayo yameua zaidi ya watu 1,000, na eneo lake limevamiwa na wanajeshi wa Israel. Hii ni kwa sababu ya mzozo wa sasa kati ya Israel na Hezbollah - chama cha kisiasa na wanamgambo...
  2. Ibrahim HC

    Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

    Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine katika ufugaji. Pamoja na kujifunza mengi Kuna baazi ya mambo Hadi hivi sasa yananitatiza ningependa...
  3. E

    Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  4. Jidu La Mabambasi

    Najiuliza tu, ile nguvu kubwa kuzima maandamano was it really necessary?

    Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa. Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na polisi defender kem kem kutoka sehemu zote za Tanzania. Vijana wamekula posho kwa kusikmama kwenye...
  5. Tlaatlaah

    Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  6. Doctor Mama Amon

    Rais Samia: Sijawahi Kuua "Mtu" Bali Naua "Sisimizi" Walio Chimbuko la Nguvu Hasi ya Upinzani Dhidi ya Ccm na Serikali Yake

    "Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao umasikini, ninaua Sisimizi wenye mambo hasi ya kuturudisha nyuma kiuchumi, ninaua Sisimizi waletao giza...
  7. Mandela5599

    Huwezi kutenda mema kwa nguvu zako mwenyewe ukatoboa

    Mambo vipi wadau! Nataka nitumie jukwaa hili kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba ni dhahiri kila mmoja wetu anatanani kuwa mtu mwema Hakuna mlevi anaependa kulala mitaroni kwa ulevi au kujidhalilisha Hakuna mtu anaependa kuwa na hasira kali zinazo haribu hatma ya maisha yake na wengine...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Teruso, yaani aliyeokoka kuuawa kwa upanga wa miungu

    TERUSO YAANI ALIYEOKOKA KUUAWA KWA UPANGA WA MIUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Tena siku zile nikasema acha nifuate njia zangu mwenyewe. Nimechoka kuwa chini ya MUNGU. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe. Akili zangu mwenyewe. Wala sitaki Tena kuongozwa na huyo...
  9. Tlaatlaah

    Zitto Kabwe aunganishe nguvu na vile vyama 13 vya siasa vilivyopinga maandamano haramu ya Chadema yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Hii italeta pumzi mpya, changamoto mpya kwa ccm, mageuzi, na uelekeo mpya wa upinzani nchini. Hata hivyo, Hatua hiyo muhimu itategemea sana, utashi na utayari wa uongozi wa vyama hivyo vya kisiasa nchini, kuweka maslahi ya Taifa mbele, na kuweka kando tofauti zao za kisiasa, usaliti, ubinafsi...
  10. X

    Hivi wewe mwanamke (modern woman) unapata wapi nguvu ya kumuita mwanamke mwenzako malaya au hajatulia

    Leo nimetua Dar kutoka kwenye mishe zangu na kwa kuwa Jah kanibless na chochote kitu kwanza nikawacheki washua wakanibless. Then nikawacheki wanangu tukakutana eneo fulani tulivu O'bay kwa kuwa mimi si muumini wa kelele. Wanangu huwa siwatupi bora nispend nao kuliko kuspend na hawa modern women...
  11. Matulanya Mputa

    Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  12. Hypersonic WMD

    Mashirika10 yenye Nguvu Duniani (powerful organization in the world)

    10.M16 ( shirika la kijasusi la uingereza) 9.kampuni ya Apple 8.ICBC ( benki ya kiselikali ya china) 7.CIA 6.Serikali ya india 5.Umoja wa ulaya 4.Serikali ya Russia 3.Serikali ya china 2. Serikali ya marekani 1.Illuminate / Freemasoni sorce: World data 3D
  13. Rashda Zunde

    Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  14. GENTAMYCINE

    Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  15. haszu

    Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  16. Mystery

    Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  17. Idugunde

    Je, kulikuwa na haja ya serikali kutumia nguvu kubwa kupambana na Chadema?

    Haya maandamano ya tar 23 yatayofanywa na Chadema yatakuwa na impact kubwa kiasi cha kuogofya serikali?.
  18. GENTAMYCINE

    Tunawapuuza kupitia Mabalozi wao halafu huku nyuma ya Pazia tunawapokea kwa Nguvu zote na tukiwapigia Magoti waweze Kutusaidia kwa Umasikini wetu

    MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama. Sophie anatarajia kutembelea kituo...
  19. Mturutumbi255

    Spinachi na Nguvu za Kiume: Ukweli na Dhana Potofu

    Nguvu za Kiume ni Nini? Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha uume, na utendaji wa jumla wa tendo la ndoa. Hali hii inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na afya...
  20. Mjanja M1

    Uongo/Chuki ina nguvu sana, Ona kilichotokea kwa Michael Jackson

    Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa. Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
Back
Top Bottom