nguvu

  1. Nikifikiria ujauzito mwili unaishiwa nguvu kwa kuwa sijampenda kutoka moyoni

    Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta...
  2. J

    Majaliwa aingilia kati sakata la RC, DC, kutumia nguvu ya madaraka vibaya

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameingilia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kutumia nguvu na madaraka vibaya ambayo amesema kuwa ipo sheria ya viongozi hao inawaruhusu kuwakamata watu na kuwaweka ndani, hii ni kwasababu ya kulinda usalama wake au usalama wa huyo aliyewekwa ndani kwa...
  3. The Natural GPS: Nguvu isiyoonekana inayotuongoza

    Dunia ni uumbaji unao ishi na kupumua, uliozungukwa na nguvu zisizoonekana, nguvu hizo ndizo zinaifanya dunia iendelee kuishi, na kuruhusu uhai na kuifanya iendelee kua hivi tunavyoiona kwa mamilioni ya miaka. nguvu ya usumaku au ya uvutani wa dunia ( Earth's Magnetic field ) hutumiwa na ma...
  4. M

    Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

    Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10. Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni...
  5. G

    Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  6. Hivi ni kwanini Serikali ya Mama Samia inatumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro?

    Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa. Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa...
  7. ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  8. Zifahamu nguvu ya sheria za siri za ulimwengu

    THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU 👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana kuwa ndio Chanzo Cha kilakitu tukaiita MUNGU Katika dini/ENEGY kisayansi,ROHO katika Asili ama...
  9. Malkia wa Nguvu Theopista

    1. Hongera Theopista kwa kuwa muwazii, usiyumbishwe. 2. Haiwezekani penye ukweli mtu akulazimishe cha kusema. 3. Mahakama punde itaweka wazi yote.
  10. Jana nimeiona nguvu ya pesa

    Hello! Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda...
  11. Katiba inatakiwa ifanyiwe marekebisho ya kumpokonya/kumnyima nguvu ya uteuzi baadhi ya nafasi

    Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa. naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na...
  12. Nguvu utukufu na mamlaka vyipo kwa hawa hapa fungua uone

    Kila kitu kinaendeshwa na watotonwa elf 2 ukubali ukatae game lipo mikonon mwao naomba tu watuvushe salama Mashangaz samahanini kama nimewakwaza Nimekaonja ka moja nimekua addicted sitoviacha
  13. Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  14. Kwa watoa sadaka tu: Sadaka ya vitu Ina nguvu kubwa kuliko cash au sadaka za miamala

    Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu. Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo. Ukifuatilia historian ya utoaji sadaka sadaka inayozolewa moja kwa moja kama vitu au huduma...
  15. Je, kwa kurejeshwa kwa 'Team Msubi' Makazini ni ishara tosha kuwa 'Team Mkwere' sasa wameanza kushtukiwa na wanavunjwa Nguvu mapema?

    Je, na Sisi 'Team Tanzania Njema' akina GENTAMYCINE tutaanza kurudishwa lini ili tusaidie Tanzania yetu ambayo tunaanza kuiona ikizama kwa mambo mengi japo 'Team Tanzania tupo tupo tu' hawajui lolote na hawalioni hilo?
  16. Kama hutaki kupigana vita vya kutumia nguvu za kiroho Mungu/giza kamwe sahau maisha safi! Utaishia kuwa masikini!

    Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
  17. Nguvu ya umoja ulivyowainua wafanyabiashara wa China, nanenane kila siku

    Mwisho wa miaka ya 1990, uchumi wa China ulikuwa unakua kwa kasi, lakini wajasiriamali wadogo walikuwa wanahangaika kupata nafasi yao kwenye soko la kimataifa. Hapo ndipo alipojitokeza Jack Ma, mwalimu wa Kiingereza mwenye maono makubwa. Aliamini kuwa mtandao ungeweza kuwa mlinganishaji...
  18. S

    Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

    Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.
  19. Tukumee kwa nguvu zote vitendo vya ulawiti kama adhabu kwa binadamu wengine kwa sababu zozote zile.

    Kumekuwa na tabia ya kushabikia, kuona inastahili au kuchukulia jambo la kawaida tu kile kinachoitwa "kupakwa mafuta" kwa wanaume na wanaotembea na wake za watu wengine. Huu ni upuuzi mkubwa sana hasa kwa jamii inayojinasibu kwa sehemu kubwa kama ya kidini na inayopinga ushoga. Hata kama mtu...
  20. Mchambuzi anasema Eritrea ina jeshi lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika Mashariki, ukiitoa Ethiopia

    Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia Nini maoni yako👇🏾 https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…