Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye mishipa ya fahamu.
Tiba hii ya chiropractic, daktari hu-focus kwenye kurudisha mpangilio wa pingili za...