ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Hyrax

    Love bites kwa wadada hutokea kwa wingi Mwisho wa wiki na Mwanzo wa wiki tatizo ni nini?

    Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo. Katika harakati zangu za kipimbi kuna kitu nimegundua wadada wengi kipindi cha mwisho wa wiki...
  2. N

    Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Kumekuwa na wimbi la ongezeko la sehemu za siri kutoa harufu mbaya! Unaweza kukuta mdada mzuri kupita kiasi, lakini harufu sasa. Wingi wa manukato hufanya usisikie chochote mapema, lakini mkishaanza kushughulika tu hali hujitokeza fasta. Uchunguzi nimeufanya wa kutosha tu, tena asilimia kubwa...
  3. A

    Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

    Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
  4. Nyendo

    Watoto wakiendelea kupewa elimu ya kujikinga na ukatili watakuwa salama

    Hii sijui ni shule gani mwalimu ameamua kutoa elimu kwa watoto juu ya ukatili wanaoweza kufanyiwa ni jambo jema sana katika kupambana na ubakaji na ulawiti kwa watoto, ni jambo linalopaswa kuigwa na shule zote pamoja na wazazi wote, tuweke aibu pembeni tuwaelelze ukweli watoto ili kuwanusuru na...
  5. Yenga08

    Nini maana ya maisha?

    Habari wana janvi, Naomba mwenye kujuwa maana halisi ya maisha anijuze maana nimekuwa nikifikilia sana kuhusu maisha lakini sipati maana halisi. Unakuta mtu anasema huyu atakuja kuwa na maisha magumu sana au maisha marahisi sana. Je, maisha ni uhai anaokuwa nao mtu, au maisha ni zile kazi za...
  6. peno hasegawa

    Ni nini kinachoipatia Serikali ya Zanzibar mapato?

    Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar. Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo? Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar? Je, ni Lini tutakuwa na serikali moja tu Ili kujua na kuuenzi muungano?
  7. ubongokid

    Ni nini faida za kuwa na Uraia Pacha?

    Habari za wakati huu, Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Uraia Pacha kwa Watanzania na watu wengine ambao wanahitaji kuwa na Uraia Pacha. Hili ni swala ambalo linahitaji mjadala wa kina, lakini je, ni zipi faida za Uraia Pacha? Mimi leo nataka nizungumzie zaidi faida za Kiuchumi...
  8. Venus Star

    Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu. Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha. 1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule...
  9. Rakims

    Ifahamu Cosmic energy ni nini

    Vipindi katika vipindi vilivyopita niliwaahidi kwamba nitafundisha kuhusu Cosmic energy hivyo katika makala na video hii nitakufundisheni mambo yafuatayo: ni nini cosmic energy? ina kazi gani? ina faida gani? ina msaada gani kwa mtu mwenye kuipokea? kwa nini huitwa zawadi katika zawadi za...
  10. chiembe

    Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

    Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata...
  11. Torra Siabba

    DOKEZO Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa. Takwimu hizo ni za Mwaka 2020. Takwimu hizo zimenisukuma kutoa ya...
  12. mshamba_hachekwi

    Wanawake, ni nini haswa mkitakacho?

    Katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa😂..... Sasa kina dada naomba mcomment vitu...
  13. Yesu Anakuja

    Upi Ukweli juu ya kifo cha Yesu?

    Hivi Yesu alikufa? ni kweli? kwasababu gani? Doc hii inasambaa kwenye magroup,jamaa anaongea magubiri mazuri
  14. Mcqueenen

    Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Asalam alaykum! Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq. Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi. Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa...
  15. Chizi Maarifa

    Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  16. Mpinzire

    Deep State ni nini?

    Nimekuwa nikiwaza usiku na mchana kuhusu "Deep State" nikijiuliza hivi ni nini hasa? Kwangu mimi Deep State ni kikundi cha wahuni ambacho kinaincontrol Serikali kuu, Deep state linaundwa na wafanyabiashara wakubwa kama wa mafuta, siraha, madawa ya kulevya pia huwa lina viongozi wastaafu ambao...
  17. Mkurya romantic

    Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!

    Katika orodha ya watu muhimu waliofariki nchini mwaka 2020, Jina la Erasto Barthlomeo Mpemba halimo! Watu waliofariki mwaka huo, na misiba yao kuadhimishwa kitaifa mwaka huo, wamo Rais mstaafu Benjamin Mkapa, John Kijazi, Mchungaji Rwakatare, Jaji Agustino Ramadhani, Waziri Agustine Mahiga—wote...
  18. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa Marburg ni nini? Majibu sahihi haya hapa

    Marburg ni nini? Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia mwaka 1967 huko Marburg na Frankfurt, Ujerumani pamoja na Belgrade huko Serbia. Hata hivyo, WHO...
  19. Andazi

    Nightmare ni nini?

    Nimekuwa nikisikia sana huu msamiati, kwangu ninachoelewa ni kuwa ni ndoto za kutisha. Kuna maana nyingine nje ya hapo au ni tofauti na ndoto au ni dubwana linalosababisha kitu kwenye ulimwengu wa ndoto? Kwa taadhima tuwakalibishe wazee wa kilinge tupate jambo, msitegeane, na yeyote mwenye...
  20. Zed

    Ni nini upya wa Katiba Mpya?

    Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa dhuluma, itanisadia kutumia rasilimali zangu vema? itathamini kura yangu na kuyafaa maisha yangu...
Back
Top Bottom