ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Not_James_bond

    Kazi ya Sticker za usalama barabarani ni nini?

    Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini? Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi? Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
  2. ChoiceVariable

    Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  3. Abdclassic

    Msaada: PC yangu inasumbua

    Kuna issue inanisumbua sana, nimebadili Window bado, nimebadili PC bado. Nahisi kuna program ndo chanzo.
  4. Vincenzo Jr

    Kambare ni nini? Kambare anaweza kuua na kumla mtu?

    Shughuli ya maisha ya kambare, Catfish ni wanyama wanaowinda wanyama wengine, na plankton na crustaceans mbalimbali zipo katika mlo wake tangu siku za kwanza za maisha. Wanapopevuka, kambare wa mto hujifunza kuwinda samaki, kamba na wanyama wengine wenye uti wa mgongo chini ya maji. Catfish...
  5. Spinal Health

    Chiropractic ni nini?

    Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye mishipa ya fahamu. Tiba hii ya chiropractic, daktari hu-focus kwenye kurudisha mpangilio wa pingili za...
  6. W

    Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
  7. Fabian Vitus

    Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

    Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
  8. Vincenzo Jr

    Ni nini maana ya mapenzi?

    Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona. Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika...
  9. Chachu Ombara

    TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  10. Balqior

    Wajuvi wa kiswahili, maana ya neno "bosheni" ni nini?

    Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
  11. W

    Nini kazi ya Jeshi la Ulinzi?

    Wakati wa Merchantalism, Nchi za ulaya zilitumia sana Jeshi kutoa ULINZI kwa wafanya biashara na misafara Yao iliyozinguka duniani kote kukusanya vitu vya thamani ambavyo vilikuwa muhimu kwa ustawi wa mataifa Yao. Kwenye Colonialism naona Hali ni sawa, wazungu kwalitumia Jeshi lao kupata...
  12. Allen Kilewella

    Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

    Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU. Lakini utungaji wa Biblia ulianza lini? Hadithi za Biblia zilitungwa na kina nani na jee majina yao yanajulikana? Watunzi...
  13. muafi

    Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa ABC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi. Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39? Mimi...
  14. D

    Mafanikio ya Rais Samia kwa 3 years ni yapi? Nijue nikae sawa

    I will be short, Naomba watu wanipe . Mafanikio ya mama. Kwamba Leo akitoka tutamkumbuka ?? kwa kuweka maisha ya mtanzania kuwa mepesi?
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwa maneno yako binafsi na mifano elezea, "Baraka ni nini"

    Hebu twende kazi, eti baraka ni nini? Elezea kwa ufahamu wako,usitumie google
  16. peno hasegawa

    Mafuta yamejaa kila kona ya nchi, tatizo lilikuwa ni nini?

    Baada ya bei mpya kutangazwa jana, leo asubuhi, mafuta yamejaa kila kituo cha mafuta.
  17. Elon J

    Simu yangu inaingiza Apps bila ridhaa yangu (bila kudownload), shida ni nini?

    Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps. Wazee wa IT shida ni nini...
  18. S

    Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

    Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa. Afrika jamani shida ni nini?
  19. Reptilia

    Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

    Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo. Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini pekee?
Back
Top Bottom