ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    Mwanamke ndio kiumbe kinachoongoza kwa kusakamwa humu jamvini, tatizo ni nini?

    Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake. Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake. Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini? Wanawake mbona kila siku ni nyie tu?
  2. W

    Anayefahamu mzigo huu unaishia wapi na matumizi yake ni nini?

    Mabibi na mabwana, nazungumzia mzigo huu hapa! Pia naomba nijue kama huyu mwenye mzigo anaona au kujua anakoelekea. Ahsanteni.
  3. Hemedy Jr Junior

    Hivi uhuru ni nini?

    Wanajukwaa naomba kufahamu juu ya uhuru wa mtu au wakitu. Uhuru ni nini maana kuna watu tunashindwa kuelewena kati ya kijana aliyejiajiri na kijana aliyeajiliwa . 📌 unaweza ukawa unaingiza kiwango kikubwa cha pesa kutoka kwa kazi yako ila hauko na uhuru... sawa unapata hela ila hiyo hela Hata...
  4. R

    #COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    Habari JF, JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena. Lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu...
  5. Tengeneza Njia

    Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja...
  6. Ego is the Enemy

    Kufanikiwa ni nini?

    Habari wanajukwaa. Naomba tujadiliane dhana ya maendeleo Ni nini. Kwa Nini mwingine anafanikisha Jambo mwingine anafanikisha. Imani yako ama mtizamo wako ni nini kinachopelekea
  7. S

    Hivi huyu Chef anayeonekana kwenye kipindi cha Jambo huwa na jukumu gani?

    Huwa namuona chef mmoja anaonekana kwenye kipindi cha jambo Tanzania kila asubuhi kwanye TBC. Huwa ana jukumu gani? Sijawahi kuangalia hicho kipindi mpaka mwisho, ila kwa myda niliopata kuangalia sijawahi kumuona hata akiwahudumia watu hivyo anavyopikaga. Mfano leo angalau nimepata nafasi ya...
  8. L

    Naomba kufahamu ni Nini kinasababisha mtu awe kama anapigwa shoti

    Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
  9. Pascal Mayalla

    Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?

    Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
  10. kavulata

    Ni nini tafsiri hasa ya "Kufanya siasa za kistaarabu?"

    Ili watu wote tuwe kwenye ukurasa mmoja wa uelewa bila kujali itikadi zetu za kisiasa, elimu, jinsia na hata makabila na kanda zetu tunakotoka ni lazima neno "kufanya siasa za kistaarabu" lipewe tafsiri yake ili wadau wote wafahamu maana yake ili kama mtu mkifanya siasa zisizokuwa za kistaarabu...
  11. The Palm Beach

    Ni nini kipaumbele cha serikali chini ya Rais Samia na CCM kwenye Sekta ya Elimu?

    ▶️Ni kweli kabisa kuwa, katika Sekta ya Elimu serikali imeelekeza nguvu kubwa sana kwenye ujenzi wa madarasa katika Elimu msingi na Sekondari na vyuo vya kati na kuyaacha au kusahau maeneo mengine muhimu ktk Sekta hii ambayo kiuhalisia ndiyo yanayobadilisha mindset ya mwanafunzi ktk tendo la...
  12. R

    Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

    Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa. Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote. Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi? Mbona mmepoa sana wakati huu?
  13. D

    IP helper ni nini? concept

    Habari wanajamvi, Msaada mwenye uwezo wa uelezea vizuri kuhusu concept ya ip helper, atakuwa amenisaidia sana!!! Naomba kuwasilisha.
  14. Balqior

    Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
  15. DR Mambo Jambo

    Nini kazi ya hivi vipipi?

    Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini? Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka kwa bei kubwa kweli kweli. Na kuna siku juzi kuna msichana mmoja aliniambia kuwa anavitumia na...
  16. Lycaon pictus

    Tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini?

    Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
  17. CIA mgumu

    Msaada kile kikalamu cha simu hakifanyi kazi tatizo ni nini?

    Samsung galaxy Note 20
  18. Pang Fung Mi

    Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  19. East

    Halotel hiki ni nini?

    Hii mitandao jamani kifurushi ni cha elf moja, nimewasha data kama dakika mbili kuzima naletewa ujumbe huu. Hapo nimejiunga kwa elf moja na sio elf tatu
  20. Mjamaa1

    KWA WANAUME PEKEE: Mahitaji ya mwanamke ni nini?

    JE WANAWAKE WANATAKA PESA? Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada. Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu...
Back
Top Bottom