ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. FaizaFoxy

    Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  2. S

    Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

    Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari. kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
  3. bongo dili

    Sababu ya umaskini na ufukara ni nini?

    Namna ambavyo kanisa linapaswa kuwajibu waumini ambao ni maskini na wanaoteseka kwa magumu wanayopitia. Ninachotaka kushughulikia katika makala hii ni mafundisho ya uongo yanayoenezwa na wale wanaofikiri kuwa eti wanazijua SABABU ZA UMASIKINI uliopo kati ya waumini – kati ya ndugu zao katika...
  4. Money Penny

    What is LOVE? I am 40 years old na sijui Love ni nini?

    Haya haya sasa, Wale mabachela sugu wamerudi tena Wanawashangaa mnamlalamikia mapenzi Niko na Mwamba hapa oysterbay, senior batchelor ananiuliza Money Penny what is love?! "Love ndio nini? SIJAWAHI kuwa kwenye mahusiano Kwa Miaka 10 sasa na sina stress and I feel line" au nimelogwa?! Haya...
  5. Mdeke_Pileme

    Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

    Habari wana jukwa!!! Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen.. Je, Shida itakua nini hapo? Nimeamua kuyaandika haya maneno kwa sababu nimeshindwa kupiga screen shot, app yao imeblock kupiga screenshot...
  6. n00b

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  7. Fabian Vitus

    Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

    Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo. Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa...
  8. King Jody

    Mafanikio ni nini?

    Unaweza kusema mafanikio ni kuwa na maisha mazuri, kwa mfano, kuwa na Biashra au kazi nzuri yenye Kipato kikubwa, kumiliki nyumba nzuri pamoja na magari ya kifahari nk, Swali langu ni je? kwa mtu anayefanya shughuli zisizo halali kama vile ujambazi au ufisadi na anamiliki nyumba nzuri, magari...
  9. R

    Ni nini msimamo wa Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu kuhusu DP world?

    Habari jf ,naona upepo umebadilika sana na hii ndio siasa sasa . Kwa walio karibu na Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu wawa ulize ni nini misimamo wao kuhusu Bandari zetu na DP World ? Ikumbukwe hawa ni waandishi wa kitabu cha ' I am the state .'
  10. Meneja Wa Makampuni

    IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?

    Samahani wadau nawaalika katika huu mjadala wa kuelezea kwa kina juu ya mada tajwa hapo juu inayosema "IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?) Kumekua na mkanganyiko juu ya hizo terminologies, mwenye kujua maana zake tunaomba ufafanuzi wa...
  11. peno hasegawa

    Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  12. Mag3

    Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  13. radika

    Kwanini bandari apewe DP World?

    Kabla hamjakimbilia kutuambia faida na hasara, chambueni kwanza vipengele vya mkataba na mjibu maswali yanayoulizwa. Nia ya kumtafuta DPW ilitokana na report ipi ya uchanganuzi wa ufanisi wa bandari? Tenda iliyozishindanisha kampuni tofauti tofauti kisha ikapatikana DPW ilitangazwa wapi? Mgao...
  14. R

    Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

    Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾 Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
  15. UmkhontoweSizwe

    Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu. Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake? Mimi...
  16. Zillion

    Uhaba wa DOLA (U.S.D) Tanzania na ukimya wa Serikali

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa. Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375 mpaka 2405 bado imekuwa shida sana kupatikana. Kwanza ilianza mabenki kuweka ukomo wa kununua dola...
  17. sky soldier

    Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
  18. peno hasegawa

    Ni nini msimamo wa CCM kuhusu kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu?

    Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman. Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe? CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
  19. Expensive life

    Mashabiki wa Yanga SC toka jana mpaka leo mna hasira, sana tatizo ni nini?

    Hawa uto vipi kila ukimgusa shabiki wa hii timu utasikia sisi tuna medali nyie mna nini wana fokafoka tu 😆😆😆 Toka mama alipopigilia msumari kuhusu dogo Fei na leo Saidoo kaweka goli tano huku akimpumulia kisogoni Mayele hawa uto wamekuwa na makasiriko ya ajabu, nyie uto mna shida gani si mna...
  20. T

    Taifa la waliokata tamaa, Dawa yake ni nini?

    Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana! Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa, Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza vijana na watumishi waadirifu, wamejikuta wakitengeneza vijana wezi, watumishi wa umma mafisadi na...
Back
Top Bottom