JE WANAWAKE WANATAKA PESA?
Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu...