CHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela.
Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama.
Huku Msigwa na Nyalandu wameanza kutangaza kutoa ahadi wakati chama chao akijatoa ilani ya uchaguzi...
VIDEO Courtesy: CHADEMA
Lazaro Nyalandu 2020
Mabibi na Mabwana,
Ndugu Wanahabari,
Leo natangaza rasmi azma yangu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA. Mapema asubuhi ya leo, nimemwandikia burua Katibu Mkuu wa Chama...
Mwanachama mwandamizi wa Chadema , Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu atazungumza na wanahabari Leo saa 12 kamili jioni.
Taarifa za uhakika ni kwamba mwanasiasa huyo kijana mwenye umaarufu mkubwa anatarajiwa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia...
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara...
Masipota/Tareirota kwenu nyote!
Wadau Kuna Clip inaonesha RC wa Mkoa wa Manyara ndugu Mnyeti akisema ni ujinga na upumbavu kuwashuku kuwa watoa misaada majimboni kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wana harufu ya kujitakirimisha.
Hivi karibuni tumeshudia TAKUKURU wakiwa bize na wenye...
Mungu ni mwema hatimaye bunge la Ndugai linafikia tamati kwa utulivu na amani.
Lakini mkutano huu wa bunge la bajeti utaacha historia ya aina yake.
Mosi, wabunge watatu mashuhuri wamefariki wakati bunge likiendelea na vikao vyake.
Pili, Wabunge wa Chadema wakiwa ndani ya bunge wametangaza...
Mwenyekiti wa DP Mkoa wa Mara Mh Chrisant Nyakitita , leo amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Oktoba .
Wagombea wanaojitokeza wote watapimwa na Watanzania wenyewe kuona ni yupi kati yao anafaa , ni vema vyama vya siasa...
Habari wakuu.
Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia nia ya uraisi na isitoshe tayari chadema kama wameshapotena kwenye kasi za ubingwa wa uchaguzi msimu huu .
Grow with Google, Andela and Pluralsight have partnered to provide a new program to support software developers in Africa on Android, Google Cloud and Mobile Web skills development tracks. The aim of this program is to continuously engage with aspiring and existing developers to help them become...
Wabunge waliopo madarakani wanapita wanakutana na wajumbe wapiga kura wanagawa fedha, matishirt n.k. lakini watu wengine wanaotaka kuomba kuteuliwa nafasi hiyo ni marafuku . kwa mtindo huo ni vigumu kupata sura mpya zitakazo ingia madarakani.
Hivi chama hakioni utaratibu huo unawapendelea...
Wanabodi,
Wenye access fuatilieni hii
Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada.
Watangazaji...
"Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"!
Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema.
Hoja hapa ni kwa nini...
Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema.
Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari
Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
Naam wanabodi,
Hakuna jambo limekera kama hili la Job Ndugai kutumia mamlaka yake vibaya. Hatua aliyo fikia siyo tu amevunja Katiba waziwazi bali pia amewafhara watanzania na kudhani kuwa hawezi kufanywa chochote. Jambo hili haliwezi kupita hivihivi.
Kwahiyo kwa wale wenye nia ya dhati ya...
Walipoungana na ACCACIA walifeli.
Maandamano ya ukuta yalifeli
Walipoanzisha uchafuzi kibiti na amboni Tanga walifeli
Walipoanzisha agenda ya nchi kutotawalika walifeli
Walipoanzisha scandal ya Kupigwa blancons yule wa Ubeligiji ili kuleta taharuki na kuhamasisha fujo walifeli
Hoja yao ya...
Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa...
RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la...
Kamanda mkuu Chadema amesema ataanza mikutano ya kunadi sera za chama chake kwa wananchi sababu zuio aliloliweka mkuu wa nchi limewafanya wakose nguvu na ushawishi.
Ameenda mbali na kusema kuwa hawaogopi risasi wala mabomu (nafikiri anajua lazima zitapigwa maana anasema kule shambani ziliwaka)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.