nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. J

    Vitambulisho vya Taifa: Changamoto zinazowakabili wananchi na mwitiko wa Mamlaka (NIDA)

    Je, umewahi kukumbana na Changamoto za Kupata Kitambulisho cha Taifa? Jiunge nasi katika Mjadala kuhusu Upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa Nchini Alhamisi hii, Septemba 7, 2023, kupitia 'X Spaces' ya JamiiForums Tutaangazia Mchakato mzima wa Utoaji na Upatikanaji wa Vitambulisho ikiwemo...
  2. B

    Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
  3. K

    Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  4. Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  5. Msaada wa kupata copy NIDA

    Natanguliza shukrani kwa Wana JF.naombe msaada jinsi ya kupata copy Nida namba ninazo
  6. I

    NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  7. Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
  8. M

    Naomba kujua utaratibu wa kurekebisha jina la NIDA

    Wakuu samahani, naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakati wa kujisajili NIDA badala ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHALI, NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  9. M

    Msaada kurekebisha jina NIDA

    Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  10. D

    Je, namba ya NIDA ni lazima katika mchakato wa kuapply Vyuo na Mikopo?

    Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA. Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
  11. D

    Wahusika NIDA msaada tafadhali

    Hellow, naombeni msaada wenu. Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA. MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya taaluma Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
  12. Wageni na Watanzania wenye asili za Asia wote wana Vitambulisho vya NIDA

    Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nachojua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje...
  13. B

    Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  14. R

    Kadi ya NIDA inakitu gani special hadi iwe ngumu kuprint kiasi hiki? Passport na NIDA kipi kigumu kuchapisha?

    Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho? Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
  15. NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
  16. L

    Mwenye kufahamu kuhusu kubadilisha jina kwenye NIDA Kwa mtumishi wa umma

    Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
  17. NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  18. Kama vitambulisho vya NIDA havifanyi kazi, tusitishe mchakato huo

    Je, vitambulisho hivi kazi yake ni nini? Kwanini vinaonekana ni muhimu kwa wananchi na sio kwa serikali kiasi cha serikali kuleta uzembe wa utoaji wa vitambulisho hivi? Nilidhani NIDA ingewezesha mambo haya Kwanza niseme nilipongeza mchakato huu na nilikuwa wa kwanza kupanga foleni kipindi kile...
  19. NIDA: Ruksa kubadili Vitambulisho vilivyoisha muda au vyenye ukomo kwa Tsh. 20,000

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imesema ni ruksa kwa yeyote anayetaka kubadilisha kitambulisho chake cha Taifa kwa kulipia gharama ya Sh20,000. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Geoffrey Tengeneza ameyasema hayo Jumatano Februari 22, 2023 wakati...
  20. S

    Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

    Tafadhali naomba kuuliza mimi ni mkazi wa mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela kata ya Ibungilo nilikuwa miongoni mwa watu waliovumilia jua Kali nikipanga musululu mrefu ili kupata huduma ya NIDA. Leo miaka Mingi imepita bila matumaini ni metembelea ofisi za kata zaidi ya mara 50 siyo Mimi wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…