Wakubwa naitaji kumiliki gari moja wapo kati ya hizi Subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis 2007 je, Ipi inanifaa zaidi ikizingatiwa ndo mara ya kwanza kutaka kumiliki gari?
Nilitaka kujua kuhusu ubora ,gharama ya vifaa
Subaru Forester 2005
Nissan Dualis 2007
Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.
Je, wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
BAADHI YA MAWAZO YALIYOTOLEWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
---
---
---
---
---
---
---
---
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Gari ninayotumia ni Chaser GX100.
Nimesafiri nayo kutoka Dar kuja Iringa na ninatarajia kuitumia kurudi Dar.
Imetokea ghafla steering imekuwa nzito (stiff) ie unatumia nguvu kidogo kukata kona.
Hakuna kelele za belt kwisha, hakuna leakage...
Wataalam wa hizi kazi nataka nimchukulie wife Nissan Dualis baada ya kukaa sana kwenye Toyota.
Je, wajuvi mnasemaje kuhusu uimara na ubora au udhaifu wa hizo gari?
Salamu wana bodi,
Nina shida na gear box ya nissan caravan. Natafuta used. Msaada tafadhali.
Hata kwa asiye nayo ningeoenda nipate mchango kuwa bei zake zikoje.
Asanteni
Wakuu habari,
Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri.
Kutokana na specification Yake ni 1990CC
Nitashukuru
\
Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu
Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana
So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
Habarini na poleni na majukumu,
Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine).
Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
Wanabodi,
Leo asubuhi wakati nawasha gari yangu ya Nissan X Trail ikatoa muungurumo usio wa kawaida yake. Muungurmo wa gari uliotoa ni kama ule wa magari ya mashindano au kama ule unaofanana na Subaru Forester.
Nimeshindwa kuondoka nalo kwenda nalo ofisini imenibidi nilipaki nyumbani. Naomba...
Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante.
Engine size: 1490cc
Wadau, salamu kwenu.
Naomba ushauri toka kwenu. Mimi ni mgeni wa magari ila nayapenda haya magari, sasa je gari gani kati ya Nissan X-tail na Subaru Forester ni bora zaidi kwenye:
1. Uimara
2. Kuhimili barabara za vumbi na tope
3. Upatikanaji wa spea
Habari wanabodi
Nna Nissan X-trail, haijawahi kuniletea shida yoyote kabisa, ila mwezi mmoja kabla engine ili-heat kwa uzembe wangu mwenyewe, nikabadilisha head, gari ikarudi sawa, nikatembelea zaid ya mwezi, kama wiki moja iliyopita taa ya check engine iliwaka, nikaona isiwe tabu, nikapeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.