Habari ya asbuhi wajumbe.
Ninahitaji Nissan Dualis kaliii nzuri na isiyo na shida. Budget iliyopo ni 12.5M. Kama itakuwa moja kwa moja toka kwa mwenye gari itakuwa vema zaidi lakini hata kama itapitia kwa dalali basi awe wazi kujitambulisha kama dalali.
Kama unayo tafadhali nicheki ili tuje...
Nissan x-trail hybrid
Honda vezel hybrid
Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive
consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia hybrid cars kama hizo, maoni zaidi yanakaribishwa.
Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
Waheshimiwa wanajukwaa umofia kwenu.
Kwa heshima na taadhima ninaomba kufahamu changamoto zozote zinazohusu gari aina ya Nissan Xtrail? Mfumo wake wa umeme
Transmission ipoje
Anything pls
Natanguliza shukrani
Samahani kwa kuita gari yako pendwa Kimeo ila twende pamoja utanielewa huko mbele, Kaa vizuri andaa Juice yako bariiidii ule MADINI..
.
X trail ni moja ya SUV [compact crossover] ya Kijapan iliyoingia sokoni November 2000, Ikiwaa ni crossover SUV ya Kwanza kutoka Nissan. Nissan X trail mpaka...
Wakuu heshima kwenu,
Kuna gari Nissan Caravan ya 2007 CC 2950 ya Diesel.(Engine Z30)
Hii gari ilikuwa inatumia lita 1 kwa km 9.
Sasa kuna mtu aliweka Petrol kuanzia hapo tatizo likaanza lita 1 ikawa km 8 hadi sasa lita 1 kwa km 6.
Mafundi wamekagua na kushauri ninunue Nozel zake 4 hivyo...
Habari wakuu.
Kuna staff mwenzangu kaniomba ushauri kuhusu Xtrail toleo la pili kuanzia 2015 anataka kununua nimpe ushauri.
Sasa ukizingatia mimi sio mtaalamu wa masuala ya magari, nikaona niombe ushauri huku kwanza ili nipate abc za kumpa.
Waomba reviews za hiyo gari wakuu.
Ahsante sana.
Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu
Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa...
KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU
**************
♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️
***************
🔅VEHICLE DESCRIPTION
Make : TOYOTA
Model ...
bank of tanzania
bmw
canter
dodoma jiji
dualis
gari
hiace
honda
japan
kuagiza
kuagiza gari
landcruiser
mitsubishi
mkopo
music producers
nissannissan dualis
premio
series
starlet
subaru
subaru forester
toyota
toyota premio
van
vitz
Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW...
Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari,
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
Wakuu naamini mpo salama,
Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK
DETAILS
Make
Nissan
Model
Teana
Manufacturing Year
2007
Engine Capacity
2340 cc
Fuel Type
Petrol
Transmission
Automatic
Color...
Habari
Nauza gari Nissan extrail for repair or spare.
Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004
Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
Gari imekaza.
Gari inatembea mwendo mdundo
Haina shida wala kelele
Njoo na Mil 2 nikuachie
sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo.
imebaki hii tu
INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.