nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

    Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
  2. W

    Epuka kupakua Application nje ya 'Play Store' na 'App Store'

    Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store' Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store: - Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu - Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
  3. Namna wachezaji mpira wa nje wanavyomiliki Ardhi Tanzania

    Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani. Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa, Maisha ya hapa yanawavutia mno. Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa. Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao. Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
  4. Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

    Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich. Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
  5. Mwanangu hali kabisa nje ya nyumbani

    Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri. Sasa huyu dogo he is almost 4 now. Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani. Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula. Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu. Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda...
  6. Sasa nimeshajua ni kwanini Mataifa jirani kadhaa na hata yanayojitambua ya Nje yanatudharau sana Watanzania japo wenyewe twajiona Wajanja

    “Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na...
  7. January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  8. Pre GE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  9. S

    Mkurugenzi Bodi Sukari atoa kauli mbili tofauti kwenye jambo moja ishara ya kuna kitu kimejificha nyuma

    MSIKILIZE MKURUGENZI WA BODI YA SUKARI ALAFU MSIKILIZE ALIVYOZUNGUMZA JANA NA PRESS LINGANISHANISHA TAKWIMU ANAZOSEMA HAPA NA ALIZOSEMA JANA KWENYE PRESS ALAFU LINGANISHA UTAJUA KUNA JAMBO KUBWA WAZIRI BASHE AMESHIRIKI https://youtu.be/uqbC1KQbjXs?si=_yKV29vyhcKNCOhF
  10. Naomba kujuzwa gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nje na ndani

    Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
  11. P

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kuandaa watalii nje ya Tanzania

    Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi nzuri na kusambazwa kwenye shule za msingi, upili na vyuo katika bara la Ulaya, Amerika na Asia. JE...
  12. Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  13. Adnetwork nyingine nje ya adsense?

    Habarini, Adsense haisupport swahili content hivyo nilikua nauliza hivi ni adnetwork gani nyingine inayolipa vizuri kwa traffic ya bongo, ukiachana na adsense, maana nimetest mengi mengi tu ila naona kama wananipiga tu, page views kibao hela haionekani.
  14. Malipo yalifanyika nje ya makubaliano, hivyo Pesa zimerudishwa

    Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa mwenye ‘account’ ya Simba baada ya biashara hiyo kwenda tofauti na makubaliano ya pande zote mbili...
  15. Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

    1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia. 2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
  16. R

    Bishop Josephat Gwajima: Mamlaka ya Rais yadhibitiwe Ili asitoke nje ya mpango na Dira ya nchi ya muda mrefu

    Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya Taifa vya muda mrefu Ili ajikite hapo. Amesisitiza kuwa, maono ya Taifa ya muda mrefu yakiwekwa...
  17. S

    SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

    Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa usimamizi stahiki,, lakini licha ya hayo je, serikali inamtazamo gani juu ya mtazamo WA rasilimali nje...
  18. Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  19. B

    Dudu Baya: Misikiti na Makanisa yajenge nje ya Makaazi ya watu

    Dudu Baya awaasa viongozi wa kiimani na pia kuwasisitiza kujenga nyumba za ibada katika sehemu tulivu zenye nafasi ya kujenga madrasa, Sunday schools, misikiti na makanisa ambazo hazijapakana na mabaa au kumbi za muziki au stendi za mabasi, masoko n.k https://m.youtube.com/watch?v=jXu_AGfnkTU...
  20. Kwanini misiba ya viongozi wengi wa Waafrika inaombolezwa kwa muda mrefu zaidi kuliko mataifa ya nje

    Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1] vs Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2] Soma zaidi: 1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi kifo cha Raisi 2. Malawi yatangaza siku 21 za maombolezi kifo cha makamu wa raisi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…