PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri.

Masoko
Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao,

Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa yako kama jayrutty, gsm, mana watakuigaa Fanya promo kupitia online media insta fb TikTok utakuja kunishukuru. Ukijisikia kunipa ya hongera sawa ukijisikia kuacha ni SADAKA kwangu alihamdulillah.

Am big brother alex la king jr
 
Kaka ningekua na vifaa na muda wa kutisha nilikua naanza kufukizana na ile brand ya Zanzibar hayo mashindano we unge neemeka sana mpaka watu WANASHITUKA we Usha sajili la brela na kucheki fursa zingine,

Sijawahi ona Hilo wazo na utembezi wangu wote naona jezi zimeandikwa Zanzibar tu, ila Tanganyika sijaona KABISA mkuu
 
Tanganyika iko wapi mpaka uiandikie jezi?
 
Back
Top Bottom