nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000. Nawashauri NMB...
  2. NMB Bank huduma mtandaoni inahitaji muwe na Watalaamu wa IT

    Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia? Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
  3. NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
  4. Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

    Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi. Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
  5. Relationship Manager at NMB Plc

    Relationship Manager, SME - Eastern Zone, Morogoro (Re-advertised) Reporting Line: Senior Coverage Manager, SME Location: Eastern Zone – to be based in Morogoro Application Deadline: 04th June 2021 Job Purpose Responsible for growing both Liabilities (Deposits) and Assets from Small and Medium...
  6. Nifungue ipi kati ya NMB Bonus Account vs CRDB Saving Account

    Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga. Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na je kuna tofauti gani kati ya hizo nilizotaja na Fixed Deposit Account? Ahsante kwa msaada wenu.
  7. Relationship Manager: Diaspora at NMB Bank

    Job Purpose: To be liaison between diaspora clients and the bank to ensure growth of this segment and entire business value chain with the aim of maximizing the Bank’s revenue through understanding of customer’s needs. Main Responsibilities To sell, develop business and ensure that there is...
  8. NMB yashiriki kukamilisha ndoto za wanafunzi Kanda ya Kaskazini

    Wanafunzi katika Shule za Sekondari imani yao kubwa katika kufaulu na kuhudhuria madarasa kwa furaha ni namna ambavyo Mwalimu anatoa ujuzi wake kwa kujiamini, mpangilio wa darasa lakini zaidi ni mazingira na vifaa vya kufundishia. Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Same, Mkoa wa Kilimanjaro, Juma...
  9. S

    Ushauri kwa Taasisi za Serikali na Benki za Kibiashara hasa Benki za NMB na CRDB

    Kupitia mtandao huu, napenda nitoe wazo/ushauri kwa Benki za kibiashara, hasa Benki za NMB na CRDB, benki ambazo zinaonekana kushindana kuvutia watumishi wa umma kupitishia mishahara yao katika benki hizo. Kwa mfano,hizi benki mbili kwa sasa zote zimeanzisha huduma ya salary advance, huduma...
  10. Head, Finance & Reporting at NMB Bank Plc

    Head, Finance & Reporting Reporting Line: Chief Financial Officer Location: Head Office Job Purpose To ensure financial control, cost management, recording, and reporting of the bank’s financial position and safe custody of all funds and assets of the bank. Main Responsibilities Finance...
  11. 2 New Vacancies at NMB Bank, February 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click on each below to read more and apply/ Bofya kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Business Planning Manager- (1 Post) 2. Legal Manager, General Contracts- (1 Post) Deadline: 24th & 18th February 2021 respectively.
  12. K

    Faida kubwa waliyoipata CRDB na NMB sasa sehemu kubwa iende kwenye gawio la wanahisa

    Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja. Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
  13. Huduma ya NMB Bank Mkononi ipo active?

    Eti wadau, hivi hizi habari wanazosema NMB Bank Mkononi zipo active kweli? Kana kwamba kila muamala utakaoufanya kwa account yako ya NMB utapokea ujumbe kwa simu. Maana naona sisikii meseji yoyote ya kamshahara kangu mwezi huu ikiingia kwa simu yangu hadi leo hii 24 January!
  14. Relationship Manager, Chinese Desk at NMB Bank plc

    Relationship Manager, Chinese Desk Job Title: Relationship Manager, Chinese Desk Reporting Line: Senior Manager, Corporate Banking Location: Head Office | Unit: Corporate Banking Job Purpose To develop and maintain relationships with a portfolio of Chinese clients within Corporate Banking while...
  15. Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia) Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja...
  16. NMB tawi la UDOM mjirekebishe

    Yaaani watu tumejaa foleni wafanyakazi wanapiga stori huku wamemweka mtu mmoja dirishani. Hata kama mmetoka sikukuu mjue muda wa kazi huu. Naandika uzi huu nikiwa kwa foleni inakera sana.
  17. Chief Finance Officer at NMB Bank Plc

    Chief Finance Officer Job Title: Chief Finance Officer Reporting Line: Chief Executive Officer Location: NMB Head Office Job Purpose The job holder is responsible for all the Bank’s fiscal operating results utilizing generally accepted accounting principles. The job holder will also be...
  18. CRDB na NMB zimelala sana ukifananisha na Equity Bank

    1. Kijitanua: kwa East Africa Equity nafikiri ni bank inayoongoza kwa kujitanua. ipo nchi zote za EAC na imeingia kwa nguvu kubwa DRC na inanyemelea kuingia Ethiopia. Hizi zetu zipozipo tu. Nilisikia CRDB wana tawi Burundi, bado lipo. 2. Ufasta wa huduma: Equity ukiwa na namba au kitambulisho...
  19. Kuuliza si ujinga: Ni sawa/sahihi Kamishna Mkuu wa TRA kuwa Mwenyekiti wa Bodi NMB?

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Edwin Mhede ndiye pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB. TRA ndiye mkusanya kodi na mapato wa nchi hii wakati NMB ni mmoja wa walipakodi. Bodi ya Wakurugenzi ndiyo itoayo maamuzi makubwa ya kikampuni ikiwemo kuteua, kukopa...
  20. Naombeni msaada wa haraka, NMB wamenikalia kooni

    Wandugu poleni na majukumu, mwaka huu mwezi wa 2 nilienda kuwapelekea deni la loarn board walinunue na kwa kuwa nilikua na mkopo nao hao NMB wakanipigia mahesabu ya jumla kuwa pamoja na kununua hilo deni na kutoa deni lao watanipa jumla ya Tsh 5,660,000 nikasema poa tu kwakuwa nilikua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…