Humu kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya hii benki ,hasa ya watu kutolewa pesa zao kwenye account zao kwenye mazingira yasiyo eleweka.
Hatiyame na mm yame nikuta,tarehe 22 niliweka kiasi cha sh5,805,000 kwenye account yangu tarehe 25 nikafanya muamala kwa kutoa sh 5,000,000.
Sasa leo...