nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Tofauti ya mafao kati ya PSSSF na NSSF

    Naomba kujua
  2. Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga Tumieni...
  3. W

    Wafanyakazi wa G4S tuliohamishiwa Zanzibar tunaomba ofisi ihamishie michango yetu ya Hifadhi ya Jamii NSSF kutoka ZSSF

    Sisi ni wa wafanyakazi tuliohamishiwa Zanzibar toka Bara kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi kwa miaka na siku tofauti. Tulipohamishiwa hapa visiwani kampuni yetu ya G4S ilitupatia mishahara yetu na kutuma michango yetu ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama ada katika mifuko yetu ya hifadhi za...
  4. Daraja la Kigamboni lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo utamalizika lini?

    Daraja la Kigambo lilijengwa kutokana na uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkopo huo utamalizika lini Ili daraja hilo Watanzania waweze kulitumia bila kulipa tozo kama daraja la Tanzanite?
  5. Nimeshangaa sana leo baada ya kufika Dege Kigamboni

    Nilikuwa Dege Kigamboni siku ya leo. Nimeshangaa sana baada ya kuona majumba makubwa sana ya ghorofa, majumba kama utitiri. Baada ya kuuliza nikaambiwa ni mradi unaitwa Dege Eco Village. Kwa haraka haraka tunaweza kusema ni kama Kariakoo au hata zaidi. Nakosa hata ya kuandika maana bado...
  6. Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  7. M

    Chonde chonde wastaafu wenzangu, NSSF, PSSSF, nk.

    Tafadhali sana tujuzane tarehe za kuhakiki, ni January hii. Tusije tukafutwa kwenye vipension vyetu!!
  8. Msaada kwa waliowahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF

    Habari zenu, Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
  9. Hospitali za bima ya NSSF kwa hapa Dar

    Habari zenu ndugu zanguni watanzania, Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi kwa kadi za NSSF.
  10. N

    Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

    Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira. Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu...
  11. Msaada kuhusu NSSF

    Habari zenu Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu Hivi account ya NSSF status kwenye salio ikishasoma 0.00 Tshs huwa inachukua siku ngapi mpaka kulipwa?
  12. R

    Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  13. Msaada kwa waliochukua malipo ya NSSF hivi karibuni

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia. Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba...
  14. Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Habari wakuu Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?. Naomba kujua na ni kwa namna gani
  15. Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima. Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango. Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
  16. Napendekeza kuvuka daraja la Kigamboni iwe bure, then NSSF walipwe na Serikali kwa riba kama mikopo mingine

    Huu hautakuwa mkopo wa kwanza kwa NSSF kuutoa kwa Serikali, Mabibo hostel, General Tyres upgrading, Machinga Complex na miradi mingine mingi isiyo na tija imepata mikopo toka NSSF, iweje kwa daraja la Kigamboni isiwe tu mkopo na ukalipwa taratibu na serikali kwa riba? Hii itapanua wigo wa...
  17. Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba? Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
  18. M

    Mwaka tangu kustaafu, PSSPF wekeni ukweli na uwazi mbele

    Naandika kwa masikitiko makubwa baada ya kupita mwaka tangu kustaafu. Mawasiliano kati yangu na PSSPF sio mazuri na hayaonyeshi ukweli na dhamira njema. Ninawaomba PSSPF mtu akishakamilisha kuwasilisha nyaraka zake na mkazihakiki basi angalau mpeni muda ambao ataweza kupata mafao yake. Kuwaweka...
  19. M

    Naomba kufahamishwa namna ya kurekebisha michango yangu NSSF

    Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo. Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF...
  20. K

    Mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi?

    Jamani, mimi nilikuwa naulizia hivi ule mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi? Mradi wenyewe mpaka sasa hivi umezalisha faida kiasi gani? Miradi ikiwa mingi bila ufuatiliaji wa kuleta tija badae yaweza kuwa shida kwa wanaohitaji pesa yao kama wanachama. Nilisikia tena NSSF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…