1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu,
Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu,
Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu,
Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu,
Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale.
2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...