nyimbo

  1. Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  2. Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

    Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti. Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
  3. A

    Naombeni Nyimbo Hizi

    Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya. Nyimbo Zenyewe ni 1. Wanaume Tumeumbwa Mateso 2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir 3. Lulu...
  4. J

    Inakuaje Kabudi anatangaza nyimbo zinazohamasisha usodoma kuwa alama ya taifa? Maadili yetu yanaelekea wapi?

    Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
  5. Je, kwanini vilabu vingi vya pombe za kienyeji hupenda kupiga nyimbo za zamani hasa zenye asili ya Kongo?

    Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji? Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni...
  6. Hii nyimbo ina ujumbe murua kabisa -ACHA TAMAA 🎶

    Acha tamaa mwangu yo Amenikanya Mama alienizaa Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya Hakuna aliezaliwa ni mwizi Saviè Kandoro Papa Hakuna aliezaliwa ni kahaba Issa Mambombe Tip-fire Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafutaa Pesa Binadamu hukubari afanye jambo...
  7. Nyimbo gani zinakuliwaza ukiwa na wakati mgumu?

    Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza. Top 5 zangu Million years ago - Adele Sikati Tamaa - Darasa Moyo Wangu - patrick kubuya Voilà - Barbara Pravi Dear Mama - 2pac https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
  8. Nyimbo gani ya zamani ujumbe wake inabidi uwafikie vijana wa sasa?

    Starehe - Ferooz & Prof J “Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalay**a , vipimo vinaonyesha ni kweli umeathirika, I am very sorry kupoteza nguvu ya Taifa” Asante min -me kwa kunikumbusha hii ngoma jana.
  9. NYIMBO ZINAZOISHI (LIVING SONGS) ZA PROFESSOR JAY.

    Habari wana JF; Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda... Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA... Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...
  10. Maneno aliyoyaongea Nabii Mkuu kipindi anampa gari Muimbaji wa nyimbo za injili yalikuwa ndiyo zawadi na siyo gari: Mwimbaji alishindwa kutafsiri

    Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy). Waliomshauri kuchoma gari...
  11. M

    Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
  12. Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  13. Nataka kununua komputa desktop kwa ajili ya kurusha movies na nyimbo ipi model yenye kasi?

    Nataka kununua komputa desktop kwa ajili ya kurusha movies na nyimbo ipi model yenye kasi? Bajeti yangu ni laki 3 na 30 wakuu asanteni.
  14. F

    Katika Album ya Zuchu "Peace and Money" nyimbo ipi umekuibali?

    Kwa mim nimeipend hujanizidi feat dvoice na makonzi Wew je umetokea kuipenda nyimbo ipi
  15. Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo

    Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo
  16. Weka Movies na Nyimbo zako kali 2024

    Habari wana JF? Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu. Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa: Good One Civil War Sometimes I...
  17. T

    Zipi ni nyimbo maarufu za kuaga mwaka 2024 na kukaribisha mwaka mpya 2025?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, je ni zipi nyimbo maarufu za kuaga na kukaribisha mwaka? mm nafahamu ule wa Abba group, na ule wa huruma kwa wagonjwa, wadau karibuni mtiririke.
  18. Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

    Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded...
  19. Clouds FM tafuteni mchambuzi mzuri wa nyimbo za kikongo au bendi kwa ujumla

    Kwema. Mimi binafsi napenda sana kusikiliza nyimbo za KIKONGO bolingo sebene nk sasa zamani cloud walikuwa na Ben kinyaiya jamaa alikuwa anaendesha kipindi safi safi sikumbuki jina la kipindi ila ilikuwa inadili na nyumba za Congo na hapa nyumbani kiufupi jamaa alikuwa...
  20. D

    Sikiliza wimbo unaohusu Tanzania nilioutengeneza kwa kutumia AI tupu ikiwemo Chagpt

    Technology imekuwa sana na mimi napenda kuchunguza vitu vinavyohusiana nayo. Hizo nyimbo nilizopaste hapa nimezitengeneza kwa kutumia AI tupu kuanzia lyrics, beat, na vocals Lyrics zimeandikwa na chat gpt ambapo ninaipatia prompt ya topic, na mistari iwe na urefu gani, chorus ihusishe nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…