nyimbo

  1. N

    Kwanini Nyimbo za Zamani huwa zinapendwa na kupendeza sana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?!!!

    eid mubarak!! Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini..... Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani..... Ddc mlimani park Sikinde Msondo ngoma n.k Hizi ni nyimbo zenye...
  2. Stavros Myles

    Music Package: Nyimbo za Afrika Magharibi zenye beat zenye ujazo mzito

    Gwala kwa wana Jf wote, naamini bado tunaendelea kupambana na maisha. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nyimbo nyingi kutoka Afrika Magharibi zinaandaliwa kwa ubora mkubwa ingawa zipo ambazo zinakuwa mbovu (chache saaaana 😂). Kama mdau wa muziki ninaweza kuwatajia nyimbo...
  3. Makanyaga

    Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile; Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album! Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
  4. Mia saba

    Tutumie jina la nyimbo / instrumental unayoisikiliza ukiwa umejipumzisha

    Mimi huwa napendelea instrument Zaid moja wapo ni: Kenny G.--- Forever In Love Japo wengi hutumia kama wimbo wa chakula. Wewe yako pendwa ni ipi?
  5. Frustration

    Naitafuta nyimbo ya Mh Temba

    Kuna nyimbo nimewahi kuwa nayo kwenye Kanda yangu iliyoimbwa na Mh Temba nachokumbuka jina ni kama kifo ila kila nikitafuta huko google sipati nyimbo hii. Mfano wa mistari yake ni pale alipolalamika rafiki yake amechikuliwa na kifo na jana tu alikuwa ameongea nae. Kifo ww ni nani mbona una.
  6. Frustration

    Uhalisia wa nyimbo hii ya SIKULAUMU iliyoimbwa na Triple S

    Habari a jioni wana ndugu wote wa jamiiforum na pole kwa changamoto za maisha za hapa na pale. Leo nakuja na kisa cha mwanamke mmoja ambaye alifukuzwa kazi na hatimae kwa hasira akaenda studio kurekodi nyimbo ili kutoa ya moyoni. Ni stori inayotia simanzi kiasi chake hasa ukiwa na moyo wa...
  7. Forest Hill

    Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
  8. Da'Vinci

    Naombeni mnitajie nyimbo za Wasanii hawa

    Habari, Naombeni mnitajie nyimbo za Juma Nature zote alizoimba na kushirikishwa. Najua nyimbo zake hizi tu. Mtoto Idd Mikikimikiki Sitaki demu Mgambo Kwa mlionazo kama itawezekana naombeni mniwekee hapa nizipakue. Nyongeza. Naombeni pia nyimbo za Twanga pepepeta/Banza Stone na Mwinjuma...
  9. nyboma

    Mapenzi ya ajabu sana leo mimechezwa nyimbo ya fireboy “Vibration”

    DeepPond leo nimesalimu amri hawa watoto wa chuo wana vibe lao bwana
  10. MKONGORO

    Wahenga msaada wa nyimbo hizi tafadhali

    Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo 1. Mama mdogo alinichukua kijijini...
  11. Teko Modise

    Nyimbo za Bongo Fleva zenye stori za kweli

    1. Sitaki Demu - Juma Nature Nature alitoa kibao hiki mara baada ya kugombana na mpenzi wake Sinta 2. Inaniuma Sana - Juma Nature Chanzo cha wimbo huu ni kama ilivyokuwa hapo juu, Nature aliachana na Sinta msichana aliyempenda sana kabla ya kuzinguana. 3. Msela - Bushoke Huu wimbo Bushoke...
  12. K

    Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

    Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka. Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo. Koh koh koh...
  13. Expensive life

    Nyimbo zangu tano kali za Bongo Fleva

    Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva). Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini. Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo...
  14. Dr Restart

    TANZIA Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Kimasai, Ole Pakuo afariki dunia.

    Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia. Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya Rufaa ya kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Alifikishwa hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi na baadae...
  15. Jembebutu

    Ipi bora kati ya kuuza movie na nyimbo, vipodozi na kucha au Chips. Mbagala/Gongo la mboto.

    Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
  16. mama D

    TBT - nyimbo za kizazi kipya zilizowahi kubamba

    Jioni imekua murua sana na burudani ya Muziki wetu wa bongoflava
  17. luangalila

    Kero: TBC punguzeni kutuwekea nyimbo za taarabu asili mnaboa

    Hakika sikio la Kufa halisikii dawa Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa Acheni mambo yenu TBC embu...
  18. Eric Cartman

    Kwako Nape kila kada anaweza hizo nyimbo

    Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu.
  19. MK254

    Kumbe huyu mwamba aliwahi kusifia Afrika Mashariki kwenye nyimbo zake

    Krisimasi njema wanajukwaa, huu wimbo ndio mara yangu ya kwanza kuuskia, Phil Colins amesifia Afrika Mashariki halafu la kushangaza ni kama ulipotezewa haujatumika na taasisi zinazohuasiana na matangazo ya utalii....
  20. ommytk

    Je ni sawa Kuweka nyimbo au mambo ya dini kwenye usafiri wa jamii

    Kuna baadhi magari ya abiria unakuta wanaweka mambo ya dini kwenye redio zao tena kwa sauti kubwa je hii ni sawa maana mule mpo watu dini tofauti pia wengine awana dini pia wengine awaamini kinachoongelewa kwa wakati huo hii naona kama haiko sawa
Back
Top Bottom