nyimbo

  1. Sky Eclat

    Ilikuwa 1980 nchini Poland, mdau amekwenda kwenye music festival na radio cassette ili arecord nyimbo

    Ilikua Jarocin Festival, vijana na wanaharakati walii penda sana, ilikua inspiration kuachana na utawala wa ki communist na waliimba mabaya yakiyofanywa na viongozi.
  2. sky soldier

    Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  3. Surya

    Nyimbo namba moja week hii kwangu

  4. The druid

    Ombi la nyimbo za cosmas chidumule za injili

    Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

    Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
  6. Baraka21

    Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

    Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika. Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
  7. Darucha

    Wadau anaefahamu mwimbaji wa hii nyimbo au jina la hii nyimbo anisaidie tafadhari ni nyimbo ya kikorea

    Msaada wa hii nyimbo ya kikorea kwa anayejua Nani kaimba na jina la wimbo
  8. Harrykany

    Aliesikiliza hii nyimbo inayowaponda Yanga, ya Tunda man na Dulla

    Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,
  9. N

    Whozu ft Donat mwanza: Simba Noma bonge la wimbo

    chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI mzee m bad zee la bandari, wazee wa bandari meli hiyoo Poooohoooo. KUIACHA SIMBA EEHEEE KUSHABIKIA...
  10. Baraka Mina

    TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho. Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
  11. Gorgeousmimi

    Hizi nyimbo mpya za siku hizi mnazionaje?

  12. M

    Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

    Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano, Bora zaidi 1. Anajikosha. - Harmonize 2. Mama Amina - Marioo 3. Sadakalawe harmonize 4. Kamseleleko - Mbosso Mbaya Zaidi 1. IYo diamond ft vocalist 2. amapiano...
  13. Deejay nasmile

    Uzi maalum wa nyimbo kali/tamu/nzuri za guitar au piano tu

    Namaanisha zile nyimbo maarufu na ambzo sio maarufu..ila tu hazina kick(mdundo) Zaidi ya sauti ya kawaida(vocal) na sauti ya umeme(ala/voice) ambayo haihusishi kick (pigo mtetemo) 1. Mr flavour - I'm for real 2. Celine Dion - To love you more 3. Ferre Gola - Regard moi 4. Banana Zoro - Mapenzi...
  14. Chinga One

    Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

    Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
  15. L

    Nyimbo za singeli ni bora?

    Nitumie nyimbo za singeli kwamba unafikiri ni safi sana, nimeshasikiliza wimbo wa singeli wiki jana, na ninataka kuiliza nyimbo nyingine.
  16. N

    Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

    Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
  17. The Boss

    BASATA kwanini hawazigusi nyimbo za singeli?

    Kuna matusi mengi mno kwenye singeli.. Why BASATA hawagusi hizi nyimbo? 'kalia chupa..kasema kalia chupa' 'mke wangu nenda kadange' 'ntafutie madanga' 'nikipata mzungu nampeleka kwa mpalange' Mimi sio sio msikilizaji wa singeli lakini hayo matusi nimeweza sikia few times nikisikia hizo...
  18. Red Giant

    Nyimbo hizi za hiphop ni nani waliimba?

    Kuna nyimbo za Hiphop Bongo nimewahi zisikia mara chache ila ni kali sana 1. Kuna wimbo wa mpenzi bubu. Achana na ile ya Hbaba. Hii ni hiphop mwanzo mwisho na jamaa anaflow vibaya mno japo kuna kauli kalikali. Aliimba nani huu wimbo? 2. Kuna wimbo mashairi yake yanasema, 'Ni hiphop, sikia...
  19. Mad Max

    Siku hizi Nyimbo za Bongo Fleva Fupi Kinoma

    Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4. Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa. Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na...
  20. Chaliifrancisco

    BASATA Kuanza Kuhariri Nyimbo za Wasanii Bongo.

    Kuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV “hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti” Chanzo...
Back
Top Bottom