Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya
Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
Mapenzi ni kitu ambacho kwa asilimia kubwa kinatawala katika nafsi ya mwanadamu. Amini usiamini kubali ukatae mapenzi yana thamani sawa na uhai wako.
Mimi ninapokuwa niko free napenda kusikiliza nyimbo zifuatazo kwa utulivu na kwa hisia nzito nikitafakari mengi juu ya wapendwa wanaonipa amani...
Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba
Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo.
Moja wapo hii hapa.
Habari wadau!
Kautafiti nilichokafanya nimegundua kila mlevi na mnywaji kuna nyimbo huwa anaipenda kuisikia pale pombe inapokolea au anapokuwa anakunywa.
"Nainua mkono mama kitambaa cheupee...hayo yote ni kitambaa cheupeee"- ni moja kati ya nyimbo ambazo nikizisikia kama nilipanga kunywa bia...
Wakuu habari zenu.
Wale wapenzi wa music wa dansi naombeni mnitajie nyimbo za huyu mwamba nizipakue mtandaoni tayari kwa kuzisikiliza.
Shukurani kwa wote mtakaoonesha ushirikiano.
Yaani kila nikiiangalia CCM kusema kweli hawana anaeweza kumrithi Magufuli, hamna nikiwaangalia naona hawaiwezi kazi ambayo Mheshimiwa anaendana nayo, Sasa hata kule kwa wavaa makoti wala bata na pilau nako ndio yaleyale maji ya futi kwa nyayo.
WaTanzania walio wngi sasa wameanza kuona matunda...
Habari za mwaka mpya wandugu. Natumai mko poa kabisa.
Nina hoja ambayo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, kwamba inatokana na nini?
Ni hivi, je umewahi kusikiliza wimbo fulani kisha ukajikuta unaanza kupatwa uchungu wa nafsi? Namaanisha unapousikiliza wimbo fulani unajikuta ni kama unataka...
Naona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.
Lavalava ft Diamond
Rayvanny ft Diamond
Baba Levo ft Diamond
Diamond ft Koffi Olomide
Zuchu & Rayvanny
Hizo tatu za mwanzo kama wanamshambuliana "Kibonge ila Kwenye Muziki Bado...
Mfano
Sweete reggae --Busy signal-come over
Hip hop--coolio-i see you when u get tgere
Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine
Country-kenny rogers-gamble
Rnb-chris brown-with you
Morden Taarabu--jahazi-najiamin
....
....
.....
.....
....
Tuendeleee
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa.
Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
Vipindi vingi vya miziki ni Bongo Fleva, utasikia top ten ya bongo fleva. Hutosikia wanapiga sebene la Nyosh El Sadat wala Patcho. Ila sasa ikitokea Alikiba kaimba sebene kama Chekecha au Mwanadar es Salaam, au Diamond na sebene lake la Waah, utalisikia linapigwa kwenye hivyo vipindi.
Sasa...
Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo...
1. Tutatoana Roho Yarabi
2. Ujanja wa bure tu
3. Mwaka huu unalo
4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake
5. Za Mwizi 40
6. Mwosha huoshwa
7. Malipo ni hapa hapa duniani
Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe.
Alianza kwa kuwatumia rafiki zake wa kutoka mbali tusiowajua kupoteza wadogo zake, akaenda mbali akafanya maovu makubwa, tukamsifu...
Ifiatayoni nyimbo zangu nilizozisikiliza mara nyingi zaidi kwa mwaka huu 2020
Kutoka Tanzania nyimbo zangu bora mwaka huu ni..
Joh Makini ft Lady Jaydee _Kiwembe
Darasa ft sho madjozi _ I like it
Rayvanny _ Mama, Teamo
Diamond_ Jeje. Napenda video tu na beat
(Kwa orodha hii nafunga nyimbo...
Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea.
Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu, nikaamua nipaki gari langu aina Fiat ndogo.
Nikashusha spika zangu kubwa mbili nika-play nyimbo ilivo...
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin
Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.
Nyingine inaimba "....wanna make me gongoweo dondoweo dondoweo" halafu inamalizia kwa kuitikia "iye iye iye iye"...
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti
Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.