Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k
Kwa sasa kwanza niseme tu kijana kajipa mzigo mkubwa kwa hulka nazoweza kusema za kuonyesha watu kwamba anaweza zaidi...
Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa.
Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ‘TEC’ limetoa tamko kutekeleza agizo alilotoa Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Aprili 15, juu ya kujilinda na #COVID19 kwenye masuala ya ibada
TEC imeamua kusitisha mazoezi ya kwaya ili kuepuka mikusanyiko. Pia nyimbo wakati wa ibada zimesitishwa ili Ibada...
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
April 4, 2020
CORONA : WASANII WAUNGANA STUDIO KWA MARCO CHALI KUTOA NYIMBO YA KUELIMISHA JAMII
Wanamuziki wakongwe wameamua kuingia studio ili kutengeneza wimbo maalum kuelimisha umma juu ya.janga la gonjwa la Covid - 19.
Source : millard ayo
1. Corona ya Rayvany
2. Corona ya beka flavour
3. Corona ya Lava Lava
4. Corona ya Dogo Silla
5. Corona ya Mzee wa Bwax
6...
7....
8....
Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema ni vile dogo ana nyota ya kunguni kabisa no one who care about him.
Je, upande wako ipi umeilewa?
Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.
Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa kweli. Unasikiliza hata kama una stress zinakuhama kidogo.
Kwa nyimbo hizi nimempigia saluti.
1...
Hii nyimbo nilikuwa naisikia nikiwa mdogo,kwa akili yangu nikaelewa kama anaimbwa chatu kweli kwani ni mnyama hatari tuliambiwa anameza watu
Lakini leo hii nimesisikia tena lakini mashairi yake yanaonyesha kama haimbwi chatu kweli, ni kama anaimbwa mtu ambaye anapoteza watu maana kuna sehemu...
Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi.
Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali.
Polisi...
Habari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.
Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend...
Katika maisha ya mapenzi ya Diamond amekuwa akiimba nyimbo kali na za hisia hasa anapokuwa katika mahusiano. Kati ya wapenzi wake wawili tu ndo wameimbiwa nyimbo nyingi, yaani wema na zari.
Sasa kwa kucheki ni collection ipi Ina nyimbo kali tunaweza jua nani alikuwa anapendwa zaidi akatungiwa...
Hi guys..
Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana.
Mimi wangu ni hawa..
Runtown
G nako (akishilikishwa)
Jux
Celine Dion
Enrique Iglesias
Sia
Katy Perry
Paul okoye (Rude boy)
Kala Jeremiah
David Gueter
Dj Snake
Westlife
P Square
Lucky Dube...
Wazee samahanini kwa kuwaingilia ndani ya masaa ya kazi. Nilikua naomba mwenye hilo Pini la Sugua lenye sauti ya juu.
Maana copy niliyonayo mimi haina sauti af kila nikidownload nakutana na ile ile ambayo haina sauti.
==...
Wakuu..
Navuviwa na Karama kuponya mioyo iliyopondeka kwa adha mbali mbali kupitia huduma ya uimbaji? Naomba kama kweli kuna Kundi ambalo linaimba kwa haki na Kweli na Nyimbo zao zina Gusa shida za watu na kupitia nyimbohizo Ushuhuda na Uponyaji hutokea naomba connections? Mimi ni mtunzimzuri...
Katika Mpambano ambao huwa ni Mgumu ni huu wa Hawa Miamba wawili wa Muziki wa kale. Unapo sikiliza basi akili na amoyo wako vitaegemea kwa unaye msikiliza. Hizi ndio Nyombeo zao zinazo toa Droo na kukosa Majibu. Inagawa kwa mimi Binafsi namuweka Marijani juu kidogo kwa ailimia tano tu yaani...
Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani.
Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi mkubwa sana hapo ndipo episode za movie huishia tukutane kwenye movie nyingine.
Hongera Kayumba huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.