Wakuu kwanza poleni na majukumu.
Naombeni mnitajie zile ngoma kali za taratibu(slow kabisa) Mfano Ed Sheeran__Thinking out loud
Enrique Iglesias_Hero
Mnaozifahamu shusheni Playlist hapa...zile za Slow sio za kukimbia zile za kubembeleza...
Asanteni,forgive me.
Labda mtu azikopi mwenyewe
Au nizikute kwenye hiyo disk
Au nizikilize radion
Au zitumwe kwenye .agroup.....
Yaani inshort ..sizielewagi tu...
Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu ndio nilizielewa
Lala salama
Ukimuona
Nataka kulewa
Kamuharibu mpaka harmonize
Wa aiyola,kidonda...
1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA
Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka mwisho,nimependa ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo ni wimbo ambao ukipigwa hata kama upo pembeni na mama watoto...
Previously wimbo ulikua wa kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama.
Source:
Yericko Nyerere
Nawashukuru wote mliojitokeza kuchangia chochote kugharamia maboresho...
Baada ya alikiba kutoa diss track yake inayokwenda kwa jina la mediocre.
Ikielezwa kwamba ni dies kwenda kwa diamond...
Sasa mlengwa mwenyewe yaani diamond ametoa track yake inayokwenda kwa jina la "haunisumbui" ikielezwa kwamba ni diss yaani comeback kurudi kwa alikiba
Nategemea pia mawe hapa...
Siku hizi naweza kukaa siku nzima nasikiliza muziki kutoka Afrika bila kuchanganya na ile kutoka Ulaya na Marekani. Viwango vimeanza kuwa vizuri sana huku kwetu Afrika kiasi kwamba Muziki wetu unaanza kusikilizwa sana huko duniania kote. Sasa napenda kufahamu zaidi kuhusu muziki wa Afrika hasa...
Nikajivika ukongoman mzee si alikuwa anapenda nyimbo zakikongo,siku moja wapo wageni nikaimba haka kakipengele kwenye huu wimbo.. Sasa inavyosound ndugu acheni tu! Tusichanganye lugha za watu maana kwa ule mmbanzi mpk wageni ilibidi waage tu!..
Lilitua banzi la shingo nikahisi leo ndo ile siku...
Nilijua tu hakuna kitu pale tamasha la kuwaburudisha wananchi lilikuwa ovyo sana ukiangalia kwa makini waliohudhuria ni wachache sio matarajio ,kiasi ya kubadilisha mada na kuliita tamasha la nyimbo za uchaguzi na huku mgeni wa heshima kuambia amehudhuria kwa sapraizi,wanadanganyana wenyewe kwa...
Mfano, Cosmas Chidule aliimba nyimbo nzuri kuhusu makao makuu Dodoma, lakini aliiharibu kwa kuitaja CCM kwakuwa wakati anaitunga nchi ilikuwa ya chama kimoja. Ziko nyimbo za furaha, huzuni na matukio ambazo wasanii wetu wanafanya kazi kubwa ya kuzitunga lakini zinageuka big G baada ya muda...
Salama wakuu!
Ipo hivi najua kila mtu ashasikiliza ile album yake sasa mle naona kama kuna nyimbo nyingi nyingi kachukua beat mfano wimbo wa "body" harmonize ft burna boy, kachukua beat na neno "Show me the way" wa kwake Papa wemba, tuje wimbo wa Hainistui kachukua beat ya Mr. Nice na huyo...
Wakuu natumia TV ya kawaida. Baada ya kupitia mambo ya convention kuanzia 780p naandikiwa unsurported format ila 480p ndio inakubali kuonesha lakini scratch nyingi.
Nimechomeka kupitia deki na card reader yangu imeandikwa Micro SD USB 2.0
Shida inaweza kuwa nini wakuu?
Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama.
Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
Wakatia Anaanza alikuwa vizuri, lakini naona sasa toka atoe aya naona ndo vile vile nyimbo zinazofata ni kulalamika kama kwenye Aya, Marioo badilika tunataka sasa utoke nje ya East Africa Nenda Nigeria, Congo,
Kuimba una kipaji ila inabidi ujitahidi kuangalia hayo maeneo, pia nyimbo za mapenzi...
Wakuu habari za mida hii!
Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni...
Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.
Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.