Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo.
Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo:
1. Kipaumbele chao ni kupatikana kwa Katiba mpya.
2. Hawatakuwepo uchaguzi mkuu wa mwaka 2024/25 bila Katiba mpya.
Baada ya...
Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani.
Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto hilo kwa kutumia ndege zake za kivita aina ya F22, na kutafuta mabaki ya puto hilo ili kuthibitisha...
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon
Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
Hii michezo ina ngazi!
Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa).
Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha!
Yanga iko federation cup ( ligi ya...
Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi asilia, kama vile utafutaji wa gesi, ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya uzalishaji na utumiaji wa gesi...
Mapitio na maboresho ya sera za biashara pamoja na misingi bora ilioimarishwa kati ya serikali na taasisi binafsi nchini imechochea kuwekwa kwa rekodi ya faida ilitengenezwa na taasisi za kibenki nchini.
Kwa mara ya kwanza katika historia, benki za Tanzania zilipata faida ya jumla ya Sh...
Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo.
Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini kote, wawe desk officers ili wasiingilie uchunguzi.
Hawa watu ni matajiri wakubwa kwa Sasa, na baadhi...
Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka?
Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi?
Hovyo kabisa.
Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi.
---
SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha.
Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.
Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.
Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua...
Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani.
Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
Anaandika, Robert Heriel
Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa.
Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza.
Changamoto...
Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa.
Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine.
Nawezaje kuitoa hii.
NB: nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.