Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesisitiza umuhimu wa maadhimisho ya miaka 70 ya Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kuwa fursa ya kutafakari historia, mafanikio na changamoto za usajili na usimamizi wa jumuiya hizo, hususan...