KERO Ofisi ya msajili maabara (HLPC) kuchelewesha matokeo ya mtihani wa leseni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari! Naomba kuwasilisha kero hii.

Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali inayopelekea kutokupata leseni kwa wakati na tunashindwa kufanya maombi ya kazi kwa kuambiwa kuwa hatuna leseni.

Tunaomba mamlaka husika iharakishe matokeo hayo ili tuendelee na taratibu zingine, maana tukiwailiza baraza (HLPC) hawatupi majibu mazuri.

Screenshot_20260623_195258_Chrome.jpg
 
View attachment 3614183
Huenda mlifeli mkuu 😂
 
Back
Top Bottom