Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa pamekucha. Sinywi pombe ila kwa wafanyabiashara nyingine safi, ni mji mzuri kwa biashara. Sisi wengine...
Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine.
Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo.
Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423
TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri.
Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo.
"Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Baraka Nandonde, amethibitisha kuwa mafundi wameshaingia eneo la mradi...
ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ
Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri.
Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani?
Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA
*Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5
*Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii
Na MWANDISHI WETU,
Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo...
Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...
WAZIRI ULEGA AKABIDHIWA OFISI NA WAZIRI BASHUNGWA, WIZARA YA UJENZI.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.