Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa, amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo tarehe 13 Disemba, 2024 jijini Dodoma.
Makabidhiano hayo yamefanyika...
Anahitajika kijana mwenye ujuzi na elimu ya masuala ya biashara hususani kwenye sekta ya miamala ya benki na simu.
MAJUKUMU
-Kusimamia ofisi inayojishughulisha na masuala ya huduma za fedha (Financial services)
-Kuandaa ripoti na hesabu za ofisi
-Kubuni na kuteleza mikakati ya kuipanua na...
TAARIFA KWA UMMA
Taarifa iliyo upande wa kushoto inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Jeshi la Polisi lingependa kuitolea ufafanuzi ili isiendelee kuleta taharuki ambayo si ya lazima.
Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe.
Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
Za ndaaaani kabisa
Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media.
Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi...
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Historia bwana tamu sana.
Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na Qatar.
Mwaka 2011, Obama akaomba Qatar iwapatie hamas ruhusa ya kuweka ofisi zao Doha na isaidie...
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli.
Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
jeshi
jeshi la polisi
katika
kero
kero ya usafiri
kituo
mbezi
mbezi mwisho
mkoa
mkurugenzi
mkuu
mkuu wa mkoa
mwisho
ofisi
polisi
ubungo
usafiri
wilaya
wilaya ya ubungo
wito
Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma?
Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma?
PIA SOMA
- LIVE - Live Updates Kuporomoka...
JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI
Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
Wakuu kwema?
Mzee wa machimbo leo chimbo mimi mwenyewe. Naweka mfululizo wa pochi kali ninazoleta kutoka china mimi mwenyewe
Ofisi yangu iko kawe ukwamani. Frem mpya za Lugalo
Mikoani utatumiwa kwa uaminifu mkubwa kabisa
Mawasiliano: 0628731833/0778321833
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote.
Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea.
Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake.
Matumizi ya simu...
Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe itaendelea kupatikana Canada. TikTok ina wafanyakazi mia kadhaa Canada wengi wao sio raia wa Canada.
Sababu...
Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa.
Chanzo: ITV
Pia soma ~ Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni.
Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.