ofisi

  1. M

    Zipi FAIDA na HASARA za kukaa mbali na unakofanyia kazi?

    Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake. Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika. Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa...
  2. Q

    Mwanza: ACT Wazalendo wanyang’anywa ofisi na Wafuasi wa CUF

    Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha. ===== Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela, Baada Ya Viongozi Na Wanachama Hao Kujiondoa Act Na Kurudi CUF.
  3. Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
  4. Msaada: Ofisi za kikuu mkoani Iringa zipo wapi?

    Habari za kazi wakuu Nilikuwa nauliza kwa mkoani Iringa kuna ofisi za KiKUU kwa ajili ya kuchukulia bidhaa zilizoagizwa mtandaoni Ahsante.
  5. Mambo Saba (7) ya Kuzingatia Kumiliki Majengo ya Ofisi ya Kipato Kikubwa Kwa Zaidi Miaka 10

    Baada ya vita vya pili vya dunia (1939-45), mahitaji ya majengo ya ofisi yameongezeka sana. Hii imetokana na kuongezeka kwa waajiriwa wa maofisini ukilinganisha na waajiriwa wa viwanda. Sekta ya viwanda ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kupungua au kuongezeka kwa uhitaji wa majengo ya ofisi. Maana...
  6. K

    Kulikoni Ofisi za ATCL Mwanza?

    Leo nimebahatika kufika Ofisi ya ATCL Mwanza kwa ajili ya booking. Niliyoyakuta pale haileti hadhi kuwa ile ni ofisi ya ATCL. Kihadhi kwa kweli ofisi imechoka mbaya. Ofisi haikupakwa rangi kwa kweli muonekano wa nje ni chafu. Nilipoingia ndani nimewakuta watumishi watatu. Nimewakuta hawana...
  7. Urusi yafunga Ofisi za DW kulipiza kisasi kwa Ujerumani

    Urusi imesema leo kuwa itajibu kwa njia sawa kama Ujerumani itaumaliza mzozo kuhusu vyombo vyao vya habari, lakini itauongeza mvutano huo hata zaidi kama Berlin itaamua kufanya hivyo. Urusi ilisema jana kuwa inazifunga shughuli za shirika la habari la Ujerumani - DW mjini Moscow na kuwapokonya...
  8. Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
  9. J

    Nukuu ya hotuba Shaka Hamdu Shaka katika uwekaji jiwe la msingi ofisi ya CCM wilaya Musoma Vijijini - 02 Februari 2022

    NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022 "Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na Zanzibar baadae vikaungana TANU na ASP Februari 5 Mwaka 1977 laiti hatua hizo zisingefanyika kwa...
  10. Walinzi wa getini ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam punguzeni njaa, msijifiche kwenye kichaka cha barakoa

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu kufunguliwa kwa shule za secondary na msingi inchini mwaka huu 2022,,, Ofisi za afisa elimu mikoa mbali mbali zimekuwa busy Sana ktk kuhudumia wanainchi wanaohitaji uhamisho wa shule kwa watoto wao. Baada ya wingi huo wa wananchi...
  11. Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
  12. N

    Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili kufanya mchakato wa kufanya clearance, lakini bado wanataka Pesa nyingine 118000(Kwa ajil ya kufanya...
  13. M

    WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELE LEO NCHINI OFISI ZOTE ZA CHADEMA TANZANIA ZIMEFUNGULIWA ZIPO WAZI.

    Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji...
  14. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  15. J

    Dkt. Dotto Biteko asimamisha wafanyakazi saba ofisi ya madini kanda ya ziwa

    === Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba kuwasimamisha kazi Maafisa saba wa Ofisi za Madini za Mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa kutokana na kutokuwa waaminifu katika shughuli zao za usimamizi wa Sekta ya Madini katika...
  16. B

    Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

    Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia. Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
  17. Mbowe alifanya mission zote za ugaidi Hai? Hakukuwa na ofisi za uratibu sehemu nyingine?

    Yaani nchi hii tumefikia level ya juu sana ya uonevu. Hivi kweli Mbowe huyu aliyeshitakiwa Dar es Salaam, inaingia akilini kweli afanyie mipango yote Wilayani Hai tukio la nchi nzima bila kua na ofisi zavuratibu mkoa wowote kati ya ile iliyotajwa kama vile Moro, Dar, Arusha, Mbeya...
  18. Ofisi za NIDA mkoa wa Mbeya mjirekebishe, msijione mmeyaweza Maisha

    Dah inauma sana Najua humu wapo wafanyakazi either hao wa NIDA sehemu husika au sehemu nyingine. Pia humu kuna viongozi na bila shaka watapitia bandiko hili. Leo nilicho shuhudia ofisi za NIDA mkoa wa Mbeya kwa Kweli wale wafanyakazi wanajiona kama wametoboa Maisha yaani wanatesa sana...
  19. Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

    Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai, masuala yote ya kijinai yapo chini ya Ofisi ya Mashtaka ya Taifa iliyo chini ya...
  20. T

    Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

    Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini. Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye. Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…