Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao.
Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo...
Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin!
Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi.
Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii
Waabheja sana bhabhaa
Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii.
Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao
Afisa wa...
Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za
uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni,
Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Mhe. Saudi...
Chini ya Rais Samia Suluhu, mipango hivi sasa inasukwa kati ya TANOIL, kampuni tanzu chini ya TPDC na Oman OQ ya Oman kufanya kazi kwa pamoja kwenye sekta ya kufanya bidhaa za Petroli.
Mpango huu umewekwa kazi wakati wa kikao kati ya Waziri wa Nishati, Mh January Makamba na Balozi wa Oman...
SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
Habarini,
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha...
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman
1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu
2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu
3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa?
'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with...
Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Makubaliano hayo yalitiwa saini...
Habarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama...
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.