oman

  1. J

    Ile ndege ya ATCL iliyopeleka nyama ya mbuzi Oman haiwezi kupeleka minofu ya Sangara Ulaya?

    Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga kutoka KIA kuelekea Ulaya. Swali dogo: Ile ndege ya ATCL iliyosafirisha nyama ya mbuzi haiwezi...
  2. Webabu

    Ubalozi wa Tanzania na Oman Air wana mpango gani?

    Nina ndugu yangu ambaye ameathirika na kukatikiwa safari nchini Oman kutokana na janga la Corona. Yeye ni mmoja tu wa watanzania wengi waliokwama nchini Oman kutokana na adha hii. Alikata tiketi ya kwenda na kurudi katika kuwatembelea familia. Baada ya muda wa viza kuisha na ndege ya shirika la...
  3. vulcan

    Kwani Ikulu ya Tanzania ilijengwa na Sultan of Oman?

    Hapa wajenzi waliwatapeli, Ikulu inakaa makao ya Sultan of Oman ama msikiti mtaani kongowea. Bomoeni hii aibu mfanye heshima kwa makao ya rais wenu.
  4. MK254

    Meli ya Iran yachanganyikiwa na kufyatulia nyingine makombora na kuua wanajeshi 19 wa Iran

    Japo Waajemi wenyewe wanasema ilikua ajali kazini. One Iranian warship accidentally struck another with a missile during an exercise, killing 19 sailors and wounding 15 others, Iran's navy said on Monday. The incident took place during training in the Gulf of Oman, a sensitive waterway that...
  5. LIKUD

    Swahili should be officialized as an official language in Oman

    Nimekuja Muscat Oman and i wonder jinsi Kiswahili kilivyo enea hapa Oman. People speak Swahili like they don't mean nothing. Interestingly Kuna waoman wamezaliwa Oman.wamekulia Oman na hawajawahi kufika Tanzania,Mombasa wala Zanzibar but they speak fluent Swahili. Nyimbo za kibongo ndo...
  6. J

    Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

    Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote. Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo. Source: Channel ten
  7. B

    Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

    Sultan Qaboos bin Said alizaliwa November 18, 1940 Muscat, Oman. Elimu yake aliipatia nchini Uingereza. Baba yake mzazi ni Sultan Said ibn Taymur aliyezaliwa February 1910 Muscat Oman. Mwaka 1965 baba yake Sultan Said ibn Taymur, alimwita nyumbani kijana Qaboos arejee toka Uingereza na kumweka...
  8. tzkwanza

    Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

    Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu. Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu. Nina uhakika...
  9. jingalao

    Bagamoyo Port construction set to kick off in January 2018. China and Oman to fund the project

    Taarifa hii nimeisikia kwenye kipindi cha magazeti asubuhi ya leo. Kila la heri wakazi wa Bagamoyo ====== Tanzania is finalising negotiations with China and Oman over the construction of Bagamoyo Special Economic Zone (SEZ) and the $10 billion (about Sh22.3 trillion) Bagamoyo Port, a minister...
Back
Top Bottom