Samahanini jamvini, Nani anaujuzi na haya Mambo ya ongezeko la Mshahara , ni kwamba kila mmoja wa civil servant ataongezewa fixed amount katika Mshahara gafi yaani elfu 40,000 kila mmoja ama iko vipi, tupate SoMo.
Na vipi kupanda daraja, he na Mshahara utapanda Mara mbili yani ya kupandia...