ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KWELI Ushuzi na Kinyesi cha Ng'ombe huzalisha Methane inayosababisha ongezeko la joto duniani

    Ingawa ni kama utani na inachekesha ila huwezi amini kuwa ng'ombe akijamba/kutoa ushuzi basi kile kitokacho huambatana na gesi ya methane ambayo huzalisha joto na moto/mwanga. Wanaharakati mbalimbali wa mazingira wamekuwa wakidiscourage ufugaji/uzalishaji wa ng'ombe kwa wingi na kusema wazi...
  2. Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia. Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa...
  3. Binafsi sijapata ongezeko la mshahara hata shilingi 1. Ni Mimi tu au ni wote?

    Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
  4. TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
  5. Dangote watangaza ongezeko la bei Ya cement uhaba wa dola watajwa.

    Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya...
  6. K

    Serikali irejee upya ongezeko la bei ya mafuta

    Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini. Jana niliwaona wenye bodaboda wakilia kwa uchungu juu ya ongezeko hili na wanailaumu sana Serikali...
  7. Msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye vifungashio vya madawa ya binadamu

  8. Kwanini kuna ongezeko la wanawake kuwa wakavu kupitiliza?

    Hebu wanawake tupeni majibu, hii hali inatisha sana. Mimi nakumbuka miaka ya 2007 ukimshika mwanamke paja tu au ukapanda kdg kwenye matiti basi anaanza kuloa hapohapo, na ni ile loa yenyewe kabisa kama kamasi hivi. Ila siku hizi unaweza fanya foreplay na mtu lakini waaapi! K bado kavu tu kama...
  9. Msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  10. Kiwango cha Kusajiliwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) chaongezeka

  11. Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  12. Ongezeko dogo katika kodi ya majengo (property tax)

    Taken somewhere !
  13. Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  14. M

    Mwezi wa Saba umefika, Watumishi wategemee ongezeko la mshahara au increament?

    Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze. Kazi iendelee
  15. Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  16. DP world na Ongezeko la Ajira 43,907 Bandarini

    Uwekezaji wa DP world katika bandari zetu Tanzania, umepokelewa kwa mitazamo tofauti. Wengi wameonesha kutokubaliana nao kwa asilimia kubwa na kudai maboresho kadha wa kadha kwa manufaa ya nchi yetu huku wanaoupigia chapuo wakisema mkataba huo ni bora na utasaidia kuboresha utendaji bandarini na...
  17. T

    SoC03 Kufungua Uwezo wa Sekta ya Misitu Tanzania kwa ajili ya Ongezeko la Mauzo ya nje na Mapato

    Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika kama chanzo muhimu cha mauzo ya nje na kuongeza mapato. Kwa kufuata mazoea endelevu, kukuza...
  18. V

    SoC03 Uchambuzi juu ya uwajibikaji katika kupunguza ongezeko la taka za plastiki

    Tarehe tano mwezi wa sita kila mwaka ni siku ambayo dunia nzima inaazimisha siku ya mazingira. Mwaka huu 2023, siku hii imebeba kauli mbiu “ Pinga uchafuzi wa plastiki”.Nyaraka hii itaangazia athari za plastiki katika mazingira na afya, pamoja na uwajibikaji kwa wananchi,serikali,mashirika...
  19. Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  20. Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…