Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa!
Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani!
Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka!
Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
#MauaYaSamia
Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki.
Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
Katika miaka hii ya karibuni kumekuwa na nia nzuri ya kuipamba miji na kuongeza usalama nyakati za usiku kwa kuweka taa za barabarani. kwa kukosekana umeme wa kawaida wa uhakika taa zilichochanguliwa ni hizi zinazotumia nguvuj za jua.
Pamoja na nia hizo nzuri taa hizi zimekuwa ni bomu...
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu.
..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana.
👇
Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
Jamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor
Pass Poor
Shoot Accurate Poor
Anapenda kujitupa tupa kama mlemavu
Anapenda kulalamika na kulilia...
Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao.
Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki.
2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi.
3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia
4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi
4. Waziri wa maji...
Nashangaa sana kiongozi anaposema siri zisivujishwe. Kama kiongozi hataki siri zake zisemwe wapo henchmen wake watahakikisha kwamba siri zake hazisemwi.
Lakini haifai kiongozi kwa matatizo yake binafsi, kwa matatizo ya udhaifu wake wa maadili, ashawishike kutunga amri ya jumla, ya kuihusisha...
Habari za jion
Sorry mimi sio mtaalamu sana wa kuandika kiswahili naomba tuvumiliane
Naenda direct leo nilikuwa nimeenda sehemu fulani uko wakati na naludi usafiri ulikuwa unasumbua ikabidi nisubilie kwenye kijiwe cha boda boda ndipo nikaaza kuona vimbwanga
Boda boda mmoja akawa...
Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya Maji Sijui yanapandaje Kwenye tenki .
Sometimes unashikwa na hasira hakuna shughuli yoyote Maana...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini.
Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford.
Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.
Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au...
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo.
Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa?
Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu.
Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.