Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na kukata simu.
Hii meseji yenu nyie continental mnatutumia ya nini?!
Ndugu mteja,kama bado unapata shida...
Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali
Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia!
Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na...
GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
VINGUNGUTI -DAR MACHINJIO MACHAFU
KULIKO YOTE TANZANIA
Machinjio hayana vyoo, serikali naomba mkalitizame ili maana
machinjio ni achafu kuliko kawaida.
Uchafuzi wa mazingira, watu wanakojoa ovyo pamoja na kujisaidia ovyo.
Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa...
Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato.
Kabla ya msimu huu wa senene...
Anonymous
Thread
kukatika
kukatika kwa umeme
msimu
muleba
ovyo
senene
umeme
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu...
"when you are in rome, do what romans do"
Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa.
Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15
Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13.
Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
Salam Wanajamvi,
Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe.
Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina
Nanukuu
"Wako...
Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote.
Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena.
Tunashindwa kufanya...
Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake?
Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
cheo
huwa
katiba
kisheria
kuanzishwa
majukumu
manaibu
mkuu
mujibu wa sheria
nafasi
naibu waziri
nyeti
ovyo
sana
sheria
ufafanuzi
viongozi
waliowahi
waziri
waziri mkuu
yapi
Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na...
Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.