Kanisa la Iran linashambuliwa papa Leo 14 yuko kimya. Papa Francisco asingekubali wala kukaa kimiya, watu wanauawa ovyo huko Iran bila huruma

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli

Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman

Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana

Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize

Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa

Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia

Tuendelee kuombea aman ndugu zangu

God bless Israel

SAYUNI BOY
 
Untitled (1).png
 
Mazungumzo ya kumaliza hili suala diplomatically yalifanyika for 60 days huko Oman ila Ayatollah na genge lake wakaamua kuchomoa. That means hawapendi amani.

Unakumbuka hadi Mfalme wa Saudi Arabia alimtuma kipenzi chake mwanamfalme kumshawishi Ayatollah na genge lake walifikirie hili jambo na athari zake mara mbili ila kwa kiburi wakapuuza?

Thereafter there were no better options than what is happening now!
 
Pope Francis aliwahi kusema vita ni ishara ya kushindwa kwa mwanadamu.

Aendelee kupumzika kwa amani.
 
Katika Kol 1:18 na Efe 1:22-23, tunaambiwa kuwa YESU NDIYE KICHWA CHA KANISA. Kwa maneno mengine, YESU NDIYE KIONGOZI MKUU WA KANISA. Yesu kabla hajapaa alizitaja dalili za kuja kwake na za mwisho wa dunia. Mojawapo ya dalili hizo ni vita na tetesi za vita, taifa kuondoka na kupigana na taifa jingine. Hivyo usimlaumu Papa, badala yake jiweke tayari kwa ujio wa Yesu. Yanayofanyika duniani leo ni ishara ya wazi kuwa Yesu amekaribia sana kuja kuwachukua watakatifu.
 
Mazungumzo ya kumaliza hili suala diplomatically yalifanyika for 60 days huko Oman ila Ayatollah na genge lake wakaamua kuchomoa. That means hawapendi amani.

Unakumbuka hadi Mfalme wa Saudi Arabia alimtuma kipenzi chake mwanamfalme kumshawishi Ayatollah na genge lake walifikirie hili jambo na athari zake mara mbili ila kwa kiburi wakapuuza?

Thereafter there were no better options than what is happening now!
Kwahiyo wanasitahili kupigwa?
 
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli

Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman

Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana

Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize

Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa

Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia

Tuendelee kuombea aman ndugu zangu

God bless Israel

SAYUNI BOY
😂😂😂 Umefuatilia ata namna hii series ya ugomvi ilivoanza mpaka kumsikia Iran?? Au clip moja tu imekuinua Kwa mihemko kuja kutype
 
  • Thanks
Reactions: I M
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli

Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman

Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana

Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize

Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa

Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia

Tuendelee kuombea aman ndugu zangu

God bless Israel

SAYUNI BOY
Toka lini nyinyi ISLAMISTS mkawapenda Wakristo? Acheni Taqqya yenu. Tumeisha wajuaga na uongo wenu nyinyi waabudu wa shetan. Tunachojua kwenye vita madara kama hayo hayakwepeki. But this time itawabidi badala ya kuamuka saa 11 alfajiri kumuomba allah wenu mumuamkie saa 9 usiku labda kama kweli ni kiumbe kinacho ishi atawasikia
 
Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa

Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia
Papa Leo sio Papa Fransisco, Juzi nyumbani kwao kule watu walikua wanapigwa mabomu ya machozi na maji ya kuwashawasha ulimuona kanyanyua mdomo wake kuongea?
 
Masikini Ayatollah huko shimoni ana birika lake la kahawa tu kashata pia zimemuishia hana hata kiswaswadu jana kapewa taarifa kuwa wanajua alipo ,kaomba apewe vitunguu swaumu ashushe presha kwanza
 
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli

Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman

Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana

Mda huu Israel anapika kila sehemu hapo Tehran ni moto na Moshi tu
Mzee wa miaka 86 hosen kaimen kajificha shimon bila huruma hana simu wala hana chochote na bado marekan anamwinda amwangamize

Lakini Cha ajabu kiongoz mkuu wa kanisa yuko kimiya hata kukemea tu kashindwa hii sawa kabisa

Papa Francisco enzi za uhai wake alikuwa anatetea sana masikin wasio na hatia

Tuendelee kuombea aman ndugu zangu

God bless Israel

SAYUNI BOY
Iran ni masikini!
 
Mazungumzo ya kumaliza hili suala diplomatically yalifanyika for 60 days huko Oman ila Ayatollah na genge lake wakaamua kuchomoa. That means hawapendi amani.

Unakumbuka hadi Mfalme wa Saudi Arabia alimtuma kipenzi chake mwanamfalme kumshawishi Ayatollah na genge lake walifikirie hili jambo na athari zake mara mbili ila kwa kiburi wakapuuza?

Thereafter there were no better options than what is happening now!
Who told you about meetings ,even omanis don't know what is going in close doors
Dont rush into conclusion ,still time by the way do you have enough oil to keep you going for unforeseeable time incase situation gets out of control.
Usifanye haraka mzee subiri
 
Pope Francis aliwahi kusema vita ni ishara ya kushindwa kwa mwanadamu.

Aendelee kupumzika kwa amani.
Alikua sahihi si baada ya kushindwa kwa mazungumzo kwa siku 60 imeanza vita. Ninkweli no ishara ya kushindwa kwa wanadamu
 
Back
Top Bottom