Mnaofuga paka.
Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.
Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..
Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
Juzi nikiwa nimejilaza kibarazani ghafla nilimuona paka wangu akifanya kitu ambacho sijawahi kumuona akifanya kabla wala kumuona paka mwingine yeyote akifanya hivyo.Nilishangaa sana nikamchukua ka clip nikiamini paka wangu ana talent ya ajabu na niliamini watu watashangaa sana kuona paka...
Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato.
Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba.
Au jiulize Serengeti...
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu
Kama ilivyo desturi ya mwanadamu ya kufuga wanyama pendwa kama vile paka,mbwa na ndege kama kasuku
Siku za nyuma nilikutana na tukio la ajabu kuhusu paka
Mnamo kipindi flan wakati nipo mkoa X ,nilibahatika kuwa na mahusiano na mdada mzuri sana...
Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni.
Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani.
Yule paka aliponiona akastuka akakimbia kuelekea barabarani anataka kuvuka barabara, jambo ambalo...
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.
Je tuhuma hizi ni za kweli?
Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha kwani Dolph Lundgren alimpiga ngumi walipokuwa wakirekodi vipande vya mapigano. Alidai kuwa alitamani...
Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe,
Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe,
Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe,
Acha kumpinga ukimsema unanyea debe,
Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa,
Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa,
Sometimes hivi vyeo vina hangover,
Lake gang...
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi.
Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda daraja,likizo ,uhamisho nk lakini mchakato wa kulipwa imekua danganya toto.
Serikali kuu imekua na...
Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga.
Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢
Ukiachana na...
Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi.
Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja.
Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia.
Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho.
Wanyama wana haki ya...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi.
Ali Kamwe amesema,
"Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐙𝐚𝐢𝐝𝐢 .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni...
Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa.
Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma...
Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie!
Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana!
Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
acha tamaa za paka, kuparamia majirani.
roho ikakutoka, vya watu kuvitamani.
mchana umeokoka, usiku hayawani.
kila mtu wamtaka, umtupe kitandani.
hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama.
Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho.
Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.