Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na...
Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa; utakiona sawa tu.
Nilichukua namba yake tuwe tunawasiliana nimwagize chakula ntakacho. Mtoto wa kizigua...
Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu.
Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
Wanyama hawa ambao ni haramu hata kibibilia wamesadikiwa kuchochea janga hili.
Pia wanamkakati wa kuongeza list zaidi ya wanyama mwitu,kufugwa na watambaao.
Tabia ya kulakula nyama za mwitu akiwemo paka miaka 17 iliyopita ilipelekea vifo vya watu zaidi ya 8000
Source: South China Morning Post...
Wakati tunasoma shule alikuwepo mtoto mmoja baba yake alikuwa Shehe.
Mtoto yule Kuna siku aligombana na sisi wanafunzi wenzake wote bwenini.
Kwa bahati mbaya Sana alitutishia kwamba baba yake ni Shehe na anafuga majini hivyo usiku atakuja kwa njia ya paka akiwa Kama jini.
Basi sisi tulilala...
Paka aliyevunja rekodi ya ukubwa anaitwa Hercules, ambaye ni chotara wa mchanganyiko wa simba na chui milia, ambaye sasa anaishi Myrtle Beach Safari, hifadhi ya wanyama pori South Carolina, USA.
Ana urefu wa mita 3.33, kimo chake ni mita 1.25 na ana uzito wa 418.2 kg (922 lb).
Hercules anakula...
1. Anapenda kwenda sawa na wewe kwa kile unachokila na muda mwingine atataka ale zaidi yako.
2. Ukiwa umelala na mkeo au mpenzi wako atalazimisha akupige chabo dirishani.
3. Ukiificha mboga hasa nyama sehemu ya mbali akiwa hayupo baadae unakuta ameshaila.
4. Ukimuadhibu anakudindia...
Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
-----------------------------------------------------------------------------------------
MREJESHO:
nawashukuru kwa msaada. Paka Yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.