paka

  1. sky soldier

    Paka kuchukuliwa kama mwanafamilia kwa kutengewa bajeti yake, inakubalika?

    Kuna paka na mbwa hapa nyumbani kwangu, Sina tatizo na gharama za mbwa kwa sababu ana msaada kiasi kwenye swala la ulinzi. Kwa huyu paka huwa inanifikirisha sana maana hatuna tatizo la panya ila watoto wangu kwa kuwa wanapenda paka nikaamua niwarusu wamfuge. Kimbembe kipo huku mama yao (mke...
  2. FRANCIS DA DON

    Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  3. Sky Eclat

    Paka shume anasubiri biriani ya IMF ipakuliwe, walengwa kalagabaho

  4. Ramon Abbas

    Twende na Paka kauzu, unaukumbuka msemo gani unaoendana na huyu paka?

    Weka kauli yoyote ambayo uliwahi kuiona inayoendana na huyu paka kauzu
  5. Environmental Security

    Hekima ya kupambana na paka (nyau): nashauri itumike zaidi

    Habarini, Kuna hekima ya Kiafrika ya namna ya kumdhibiti paka na kumpiga akiwa kakosea, awe ni paka wako au wa jirani. Wazee wa Kiafrika wanashauri kuwa ukifanikiwa kumdhibiti paka ndani ya chumba na mkononi una kiboko mujarabu kwa ajili ya kumpa kichapo na mlango na madirisha yamefungwa...
  6. Petro E. Mselewa

    Paka wakamata panya wanauzwa

    Paka wenye umri wa miezi miwili ambao ni wa asili na wakamata panya mahiri wanauzwa. Wako watatu. Kila mmoja ni shilingi elfu arobaini. Wanapatikana Survey hapa Dar es Salaam. Wale wote mnaokabiliwa na tatizo la panya majumbani mwenu hapa Dar na kwingineko wahini hii fursa ya kumaliza tatizo...
  7. Grau

    Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
  8. Vhagar

    Nionyesheni paka hapa

    Happy sababa day. Kuna vocha hapa zungushia duara ukimuona.
  9. sky soldier

    Paka wa nyumbani kafia miguuni mwangu; kuna cha kuhofia katika ulimwengu wa kiroho?

    Nyumbani kwangu hapa naishi na mke na watoto wangu wawili pamoja na binti wa kazi na ndugu wawili. Sasa kuna kipindi kuna paka mdogo alikutwa maeneo ya karibu na mtoto wangu basi mtoto wangu huyo akamleta. Ni kipaka cheupe chenye madoa ya brown kwa mbali, kilikuwa kidogo sana, Binafsi...
  10. M

    Jeshi la Israel lahuzunika sana kulikosakosa gaidi la Hamas lenye roho Tisa kama ya paka

    Akizungumza kwa masikitiko sana mkuu wa majeshi wa Israel southern command Eliezer Toledano amesikitika kwa kumkosa kumuua mara mbili wiki iliyopita gaidi bishi la Hamas Mohammed Deif, 55 pichani hapo chini. Deif ambaye ni gaidi zoefu ameponea na kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa 2011, 2013...
  11. Poppy Hatonn

    Malenga wa Kibiti asema," Tangu paka kaondoka, panya nyumba watawala"

    Paka kiwepo pahala,panya hawana pirika, Pale kakamata dola, panya wanadhoofika. Mashimoni wanalala, kero tunapumzika. Tangu paka kuondoka,panya nyumba watawala. Paka walikuwa jela,kifungo walifungika, Wakawa si wa kitala,midomo walifungika. Kuondoka wa kuwala,jikoni ni patashika, Tangu paka...
  12. S

    Nani atafunga paka Kengele - Ndani ya CCM si shwari tena

    Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena, kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja. Kamera nyingi zimewanasa viongozi wa CCM serikalini walio ndani ya Serikali ya Samia Suluhu, wakiwa wamemtolea mimacho kama waliopigwa...
  13. sky soldier

    Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

    MUHIMU: PICHA HII SIO YA PAKA WA HAPA KWETU Hapa kwangu napoishi tuna paka, Sio mimi niliemleta bali ni mke wangu. Hatuna tatizo la panya kwa hio bado sielewi paka anahitajika wa nini. Kuna jirani ana fuga ngombe huwa anatuuzia maziwa nyumba chache, Mke wangu alilipia ujazo wa ziada...
  14. S

    WARIOBA asema kweli - Hakuna atakayeweza kumfunga Paka kengele

    Kwa aliemsikiliza Jaji warioba atakuwa ameupata ukweli wa hatari inayoikabili Tanzania huko tuelekeako. Chains au minyororo au tuseme links zile zilizomfanya na kuwafanya CCM waibuke na ushindi kuanzia diwani mpaka Raisi ni mchezo hatari unaoweza kuipeleka nchi katika shida. Kwa mara ya kwanza...
  15. Superbug

    Natamani kumla paka wangu nione ladha yake

    Paka Ni viumbe wapole wazuri ila ukimtibua utajuta. Kutokana na kuishi na watu wa Jamii mbalimbali duniani Kuna vyakula natamani kuvila ila naona sitaonekana wa kawaida. Moja ya kitu ninachotaka kukila ni paka wangu ila dhamiri inanisuta. Najiuliza atakuwa na utamu Kama wa sungura au? Kumala...
  16. sky soldier

    Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

    Wazungu wana mambo ya ajabu sana, wacha nikupe mkasa nilioshuhudia leo Mida ya lunch leo kuna rafiki yangu kazini katutoa lunch rafiki zake twende hotelini kupiga msosi. wakati tunapiga msosi maeneo ya wazi nyuma ya hoteli, tukawa tunamshangaa mzungu flani yupo na paka wa pale hotelini...
  17. Chizi Maarifa

    Natafuta PANYA maana naona PAKA wangu anajinenepea tu. Analala masaa 24

    Wadau mimi napenda kufuga hapa kwangu nina Mbwa,Paka, Ng'ombe wa Maziwa na Kuku pia. Mbwa nmeona kazi yake maana kuna siku kibaka alijichanganya kuruka ukuta kabla sijaweka Fensi ya Umeme... Tulimkuta hoi. Hawa mbwa nikawapenda zaidi. Kuku tunapata Mayai na Nyama pia. Ng'ombe tunapata maziwa...
  18. Barbarosa

    Kwanini Panya ambaye hajawahi kuona Paka, akimuona anachanganyikiwa?

    Unakuta Panya hajawahi kuona wala kukutana na Paka tangia azaliwe, lakini siku akimuona tu kwa mara ya kwanza anashtuka na kuogopa sana, kwa nini? Nani kamfundisha kuhusu Paka?
  19. M

    Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

    Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata. Karibuni. Naishi Dar es Salaam.
  20. Mzukulu

    Nini kimepelekea Panya Mjanja wa Mtandaoni Kiboko ya Paka Mbishi wa Magogoni kutoweka ghafla?

    Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe...
Back
Top Bottom